Vijana wa Igunga na shahada

Chadema inabidi waongezee kigezo kimoja kwa kugombea ubunge na udiwani.

Mtu anayetaka kuwani udiwani au ubunge ni lazima awezekuthibitisha ni kwa kiasi gani amechangia kuwaelimisha watu anaotaka kuwawakilisha juu ya umuhimu wa kujiandikisha,kupiga kura na hasara ya kuuuza shahada yake kwa Tsh. 10,000.
 
ndugu zangu wanajamii forum,ni jambo la kushangaza sana hasa kwa vijana ambao ndo maisha yao ni magumu kupita kiasimaana hawa wazee wa magamba wamejilimbikizia mipesa lakini bado vijana wanadiliki kuwarudisha bungeni ili waendelee na ufisadi kwa kasi kubwa,tuendelee kuwaelimisha wataelewa siku moja.MUNGU shusha neema yako kwa vijana hawa walio maskini wa akili na mawazo:loco:
 
Mim stak kuamin kama kijana wa sasa anaweza kuuza shahada yake kama walivyofanya vijana wa Igunga hii imenifanya niwaone ni maskin wa akil na kila kitu ambapo wanaweza kuuza hata wake zao.

Una ushahidi wa hili?
 
Mkuu, sio ujinga, ni umasikini tu!
Mkuu, kama wewe ni kijana wa kijijini pale Igunga, unategemea kilimo, mkeo ni mjamzito wa miezi tisa, na ana compications tayari, umeshaambiwa na nesi kuwa itakubidi uende hospitali ya mkoa, ndani una gunia mbili za mpunga, una watoto wengine wawili, akiba yako kwa ajili ya uzazi ni 50K. Unaambiwa chukua 30k usipige kura. What would you do? Umasikini ni kitu kibaya sana!!

Kumbuka kuna masikini jeuri na anakula jeuri yake.
Yeyote anayeuza shahada yake ni mpumbafu anasiyeweza kuona mbali zaidi ya pua yake.
Hivi huyo mwenye mjamzito ina maana akipewa hela za kutatua tatizo la mkewe anafunga na kizazi asizae tena au mimba zake zitakuwa zinaangukia kipindi cha uchaguzi siku zote.
Hao wanapewa kidonge cha sumu kilichopakwa sukari subiri kitakapofika tumboni kitawamaliza taratibu.
Utanufaika na kamsaada ka Malisa siku moja lakini utateseka ulie na kusaga meno milele.
 
Watu na ubongo usiofanya kazi vizuri,elf 10 ya leo inakutesa miaka 5 ya shida,huna maji,huna ajira,huna dispensary,hunna shule unapokea kweli hela nakutoa shahada ya kura ili usipige kura. Mlaaniwe mliofanya hivyo.
 
Nadhani vyama vya siasa esp CDM vingeanzisha operation MAALUM kupita nchi nzima just kutoa elimu ya uraia ikiwemo umuhimu wa kupiga kura na kutokubali kuuza haki yako na future ya maisha yako ya next 5yrs kwa kwa buku 10 na kofia ama t-shirt...!! Na hawa vijana nao wakae chini wajiulize hv elfu 10 kweli inaweza badili maisha ya mtu...?? Hivi hawajui kwamba mtu akisha kupa elfu 10 we ukampa kura ndo bac tena caz mshafanya biashara so hauwezi kuja kumdai ajira, umeme, barabara, maji, shule wala dawa za bure hospitalini..!! Me siamini kama ni umaskini pekee ndo unaochangia kufanya hv, nadhani ujinga ndo unaplay a great role....!! Tusipofanya hv kwa style hii ndo WHITE HAIR atakavyokuja kuichukua nchi 2015...!!
 
Back
Top Bottom