Vijana wa Dar es Salaam

Vijana wa Dar es Salaam

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,958
Vijana njooni machimboni tupige ela, mnangangania daswamu(Dar) kutwa kuzurula mitaani tu
Kunengua mauno kama dada zetu kweli??

Kijana mdogo dhahabu sio shida ata ukitaka nakugawia mtafute ela

Kijana umerizika unakafriji, ka tv ka solar max na kitanda na vyombo taar na hapo upo dar zaidi ya miaka 10.

Siku ukifa utasikia marehemu aliacha friji na kitanda cha sofa ,na tv solar max inchi 32 😁
Uzembe tu wakufanya kazi mfyuuu

Dar ni jiji la bata tafuteni ela mikoa afu ndo uende Dar
 
⊘ 𝘛𝘩𝘪𝘴 𝘮𝘦𝘴𝘴𝘢𝘨𝘦 𝘰𝘯𝘭𝘺 𝘢𝘱𝘱𝘦𝘢r𝘴 𝘵𝘰
𝘱𝘦𝘰𝘱𝘭𝘦 𝘸𝘩𝘰 𝘣𝘢𝘵𝘩
 
Unataka kusema kuwa vijana wa mikoani wote wapo vizuri kiuchumi?

Au mimi ndio sijaelewa
 
Unataka kusema kuwa vijana wa mikoani wote wapo vizuri kiuchumi?

Au mimi ndio sijaelewa
Wengi kuanzia ahe ya 24 adi 28 tayari wananyumba zao wenyewe . Apo dar vjn wengi wamepanga tu
 
⊘ 𝘛𝘩𝘪𝘴 𝘮𝘦𝘴𝘴𝘢𝘨𝘦 𝘰𝘯𝘭𝘺 𝘢𝘱𝘱𝘦𝘢r𝘴 𝘵𝘰
𝘱𝘦𝘰𝘱𝘭𝘦 𝘸𝘩𝘰 𝘣𝘢𝘵𝘩
hii sijaelewa
 
Kila mtu ana namna yake ya kutafuta hela, usimpangie mtu akatafute wapi hela !

Kuna watu wanaishi dsm ni fukara mno, mlo mmoja tabu, wanalala mitaroni ! Pia hapo hapo dsm kuna watu wanaoshi kifalme ,,,

Pia hivyo hivyo mikoani !!!! Msikariri maisha !!
 
Wengi kuanzia ahe ya 24 adi 28 tayari wananyumba zao wenyewe . Apo dar vjn wengi wamepanga tu
Mkuu umetembea mikoa mingapi ukapata hizo takwimu?
Au labda unaongelea Tanzania inayopatikana Jupiter?
 
Kiukweli maisha yamebadilika sana zamna FM radio utaisikia ukifika dar, daladala utapanda ukifika dar, wale dada pouwa utawapata ukifika dar huduma nzuri za hotel chakula nk utaxopata ukiwa dar
Nowadays vilivyopo dar mikoni vipo ni wewe na pesa yako tu japo for itabaki dar mikoani itabaki mkoani ila watu wanaishi maisha mzuri zaidi dar kilicho cheap ni mavazi tu vingiene gharama sana
 
juzi kati Emmanueli Mbasha alikuwa anahojiwa na vido wa amplifaya CLOUDZ akiwa. chunya,anasema anawasihi vijana wawekeze machimboni/migodini ndiko maisha yalipo.NILITAFAKARI SANA,MTU MAARUFU KAMA YULE KUSEPA DAR KUJA KUCHUMA PORI,NILITAFAKARI SANA,NA NI KWELI,mjini tunagombaniana fursa matokeo yake tunazipata wengi kwa gawio kiduchu,mtu unalipwa laki 2,laki 3 hata akiba tuu haibaki!
 
Usije kushawishika na maneno ya mtandao machimbo sio poa.
 
juzi kati Emmanueli Mbasha alikuwa anahojiwa na vido wa amplifaya CLOUDZ akiwa. chunya,anasema anawasihi vijana wawekeze machimboni/migodini ndiko maisha yalipo.NILITAFAKARI SANA,MTU MAARUFU KAMA YULE KUSEPA DAR KUJA KUCHUMA PORI,NILITAFAKARI SANA,NA NI KWELI,mjini tunagombaniana fursa matokeo yake tunazipata wengi kwa gawio kiduchu,mtu unalipwa laki 2,laki 3 hata akiba tuu haibaki!
Chimbo ela ipo yakutosha sema vijana wa siku hizi kushida kutiktok tu
 
Mkuu umetembea mikoa mingapi ukapata hizo takwimu?
Au labda unaongelea Tanzania inayopatikana Jupite
Mm nazungumzia daswamu apo , watoto wanakua wao chngamka ooohohoho
 
Ujanja tu ingia ubia na wachimbaji wazoefu weka pesa kununua mawe sageni apo kisha osha hio kazi inafanywa na wafanyakazi mwaloni wewe nikusubiri share tu, sasa nyie endeleni kukaaa daswamu ndoo za zege zitawaua .
Nyumbani kuna shamba kwanini usilime upate mtaji uzembe tu wakutaka mitelezo miaka 34 unawatoto unapanga chumba kimoja 😀 atari.
Hio watoto usiku lazima wawapige chabo tu matokeo yake watoto wanaharibika.
 
Back
Top Bottom