humu sio wote chadema muwe mnapendekeza kwenye vikao vyenu vya ndani
humu sio wote chadema muwe mnapendekeza kwenye vikao vyenu vya ndani
humu sio wote chadema muwe mnapendekeza kwenye vikao vyenu vya ndani
Napendekeza Heche awasiliane na Malemo aje atutembelee na kuhutubia au kuwe na mdahalo kuhusu nafasi ya vijana katika kupambana na ubeberu na unyonyaji na vikwazo vijana wazalendo wanavyo face. Sisi kama vijana twaweza kuchanga peas kufanikisha hili. Naamini Malemo kijana mzalendo na mwenye ushawishi mkubwa atatupa changamoto kubwa. Namaanisha Julius Malema
Ukiona haikuhusu una acha, si unasoma halafu unalalamika we vp kijana?
Nimecheka sana tena niko peke yangu. Mimi nilidhani na Molemo wa JF! Mwishoooni jamaa anasema namaanisha Julius Malema! Yale magazeti pendwa ndio huwa yanapenda habari kama hizi.
Nakubaliana huyu jamaa kwa wasiomfahamu wanaweza kufikiri ni wa maana sana . Ni hatari tena ni fisadi mkubwa huko South na huwa anatumiwa kuleta vurugu. Hamaanishi anayoyaongea kwa hiyo ni wa kuepuka sio mfano mzuri kwetu. Don't entertain him. Hata wa South wenyewe wamemstukia. Anawapelekesha walala hoi ambao hawana uelewa na kuwasababishia matatizo makubwa wakati yeye akiendelea kuishi maisha ya anasa Suncity.Mnamfahamu vizuri Julius Malema, au huwa mnamsoma tu kwenye vyombo vya habari? You will be surprised for damn sure.