Vijana wa ccm

Nikikumbuka jinsi kile kiungo cha binadamu kilivyokuja kubatizwa jina sababu ya tangazo la 'tigo' nahofia na kauli mbiu 'mbili zatosha' iliyoandikwa mgongoni isije ikaleta tafsiri tofauti!!
 
Akiugua hapo na kukosa matibabu sahihi na kwa wakati ndipo atakapoijua ccm nini
 
Mkuu nasema hivi hatta mzee majutto kwenye muve yake alinena hivi kuishi na watu kazi kubwa hawa hawa ndio wa kwanza kwenda kwenye makorido kusikitika na maisha magumu na vitu vinapanda bei kila siku mara kanchi kameuzwa na luku bei juu na kamshahara hakipandi kiko hapo hapo na huku hunena sisi walala hoi tunateketea lakini wakubwa na watoto wao ni mambo yao ni safi sanaaaaaa
 
wanaeneza ushoga na usenge eti ' 2 za tosha'
 
Intaharamwe namuona ifweero yuko karibu ya msalani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…