sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 865
utakuta wanapaki gari pembeeeni kisha polisi wasio vaa sare kazi yao kuwakamata mmoja baada ya mwingine , utawaonea huruma vijana wa watu , wanavutwa hadi kwenye hilo gari , wakiisha toa hela wanaachiwa.!!
SINA HAKIKA KAMA WAKUU WA POLISI HAWATAMBUI HALI HII.
SINA HAKIKA KAMA WAKUU WA POLISI HAWATAMBUI HALI HII.