Tariq f
JF-Expert Member
- Dec 11, 2021
- 233
- 347
Habarini wakuu
Kikubwa ninachoamini ni kwamba magumu yapo, na pia binadamu huyapitii peke yako, Ndio maana sometimes nikiona mtu ana be stressed saana naamua kumchukua na kumtembeza baadhi ya sehemu mbalimbali kwenye watu wenye shida zaidi yake especially mahospitalini
Hali ngumu ya shida, umaskini, majanga na nuksi haitokei kwa mtu mmoja na wala haipo kwako tu kwani wengi wanapitia, So usijione mpweke au mnyonge juu ya hilo,
Kikubwa muombe mungu na kumshukuru pia.
As long as una pumzi na unaishi! Nasema hiyo pekee itoshe sana kumshukuru mungu kwani wewe ni TAJIRI. Kwa kuwa wapo wengi tulikuwa nao na wakapoteza nafasi hiyo huku wakiendelea kuihitaji, so wanakuona we ni mwenye bahati sana
Usijaribu kuchukua maamuzi yeyote mabaya, kama kujiua, ulevi, ujambazi, ushoga na kukata tamaa kwani ni kinyume na MUNGU. Kila mtu anakusudi lake kwa mungu, na mungu ndio anaejua kesho yako. Jaribu kuwa strong kipind kigumu na kuvumilia magumu unayopitia na hata kuyatumia kama fursa ikiwezekana
Dunia ni kama movie, wewe unashida ya godoro la kulalia làkini mwingine hata mahali pa kuweka godoro lenyewe na kulala hana kabisa. Na mwingine ana hilo godoro lakini kalichoka kwa kulilalia kwani uti wake wa mgongo umekufa na hawezi kukaa tena.
Vijana tupambane na tuachane na mambo ya kukata tamaa kwani hakuna kitu rahisi kwenye maisha vijana wenzangu, hata hao unaowaona wamefanikiwa hawakuelezi tu ukweli, na endapo wakikuelezea background zao, unaweza usijaribu kupita kwenye njia zao hata kidogo.
Nimeandika uzi huu kwa ajili ya vijana wenzangu wapambanaji, na wale waliokata tamaa kurudisha imani kwenu. Pia kutokana na visa mbalimbali vya kujiua kwani;
NAUMIA SANA NAPOONA KIJANA UNATAKA KUJIUA AU UNAJIUA, KISA MAPENZI AU UGUMU WA MAISHA.
All in all, magumu hayadumu, kikubwa tukimbilie kwa ALLAH