maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,493
- 3,382
Vigezo na masharti kuzingatiwa!Mmekosea masharti yaani hapo hata mahakamani hamumfungi
Bila shaka we ni muuzaji, wakala wa mganga au dalali. [emoji5] [emoji5] [emoji5]Kuna kitu cha kongo ,kinarefusha saizi uitakayo
Kuna kitu nimejifunza hapaDeep from the roots: These people had Mastered the thing known as POWER OF CONVICING others are just tails.
Mtu alijifunza, kusoma na kuelewa NGUVU YA USHAWISHI na namna ya kuifanyia kazi aisee ni wa kuogopa sana. Mf. Trump, Kim na Maraisi wa mataifa makubwa, Pope Francis, Makadinali na Maaskofu wa nchi mbalimbali, Wanasiasa wa nchi mbalimbali na Tanzania, Wasanii(Diamond Platinum) na Viongozi mbalimbali wa Mashirika, Sekta Binafsi na Kijamii aisee wanafaidi sana.
Ndiyo sababu huwezi kukuta Mwanamke anafanya hii kitu sababu kiasili Nguvu yake/yao ya ushawishi kupitia mdomoni ni ndogo mno zaidi wamejaaliwa kimatendo zaidi, wakati kwa kila Mwanaume Rijali hata awe mtoto mdogo anakua nayo hii nguvu.
Na anayejijua na kuifahamu namna na jinsi ya kuitumia hii Nguvu, utampenda hata kuongea nae na huwa wanapitaga mbali sana wakiona shughuli kama hizo sababu wanajua kwamba Nguvu zinazidiana.
Namshkuru Mungu sana kwa kuniwezesha kujua haya mambo na kunikutanisha na wajuzi na huwa naenjoy sana ninapokua naona, kusikia au hata kupata nafasi ya kuongea au kutoa mchango wangu kuhusu jambo hili au hata mambo mengine sababu najua ni lazima niitumie Nguvu yangu ya ushawishi vizuri.
yeah kwelikweliMkuu hawa watu ni wa kuwakamata na kuwatia ndani kabla hawajasababisha maafa huku mitaani.
Eleza tu mkuu itatupa funzo fulani.Mkuu pole yashawahi nikuta kama yako, ila ni siri yangu sitaelezea kiundani