Sawa Mkuu ila kuhusu kupunguza nilishamwambia akaongea na mama ake lakini sikuoata jibu !Toa robo sio nusu mwambie nyengine utamaliza ndo imetoka hio
Au mimba tu kama jamaa hapo juu alivyosema
Ukizishindwa hzo njia last option mwambie binti aongee na kwao we huna uwezo wapunguze Si anataka aolewe ataongea nao tu maana sio wazazi wanao olewa
Ikishindikana piga chini tafuta mwengine acha tabia ya sogeza tuishi huwez kaa na mtoto wa mtu bila ridhaa ya wazazi wake mikosi mingine ni ya kujitakia
Ngoja nikanywe bia we endelea kusubir michango mingine
Kuna kijana alidhani kumtia mimba binti ndio atapewa mke kirahisi rahisi.Mtie mimba mkuu, utajipangia mahali mwenyewe
Huyo mwanaume nae boya uniendeshe hivo, nachukua mwingine nakuachia wenu na nina uhakika baada ya mda nitaendelea kumla tena Kama nyumba ndogo.Kuna kijana alidhani kumtia mimba binti ndio atapewa mke kirahisi rahisi.
Wazazi wakakomaa.
Mtoto akazaliwa, mwanaume anadhani atapewa mwanamke lakini wapi.
Kosa alilolifanya alipigwa marufuku kutia mguu nyumbani kwa mwanamke. Mtoto akafikisha miaka miwili mwanaume haamini macho yake.
Ilibidi akaombe, alipe mahari na faini(hela ya matunzo ya mtoto yangu alipozaliwa) wakafunga na ndoa wakakabidhiwa mtoto sasa.
Kuna wazazi hawachezewi nyie, labda ujiandae kukaa mbali na mtoto wako hadi siku akutafute mwenyewe.
Bila Shaka Mleta Mada Kapata Jambo JemaKuna kijana alidhani kumtia mimba binti ndio atapewa mke kirahisi rahisi.
Wazazi wakakomaa.
Mtoto akazaliwa, mwanaume anadhani atapewa mwanamke lakini wapi.
Kosa alilolifanya alipigwa marufuku kutia mguu nyumbani kwa mwanamke. Mtoto akafikisha miaka miwili mwanaume haamini macho yake.
Ilibidi akaombe, alipe mahari na faini(hela ya matunzo ya mtoto yangu alipozaliwa) wakafunga na ndoa wakakabidhiwa mtoto sasa.
Kuna wazazi hawachezewi nyie, labda ujiandae kukaa mbali na mtoto wako hadi siku akutafute mwenyewe.
Anafahamu kila kitu Mkuu!Iko hivi cha kufany kwa sasa nikumuweka binti wazi kuhusu kipato chako na kisha aweze kuwaeleza wazazi wake juu ya hilo angalau wapunguze mahari maana hiyo ni pesa nyingi sana.
Pia kumbuka utaishi na uhalisia wa mtu si muonekano wake usije ukatoa mahari kubwa kwa kujua yuapendwa sana kumbe mwenzako ana lake moyoni baadae ukajajutia juu ya maamuzi yako na kuanza kuumia kwa pesa uliyopoteza kwenye mahari. Hivyo fanya maamuzi sahihi kwanza kwa upande wa wazazi wa binti.
Kumpa mimba sio suluhisho la kupunguziwa mahari au kupewa mke bure mkuu.... just think deeply.
Ahsante kwa ujumbe Mkuu, yeye ndiye alianza na kutaka tukae nadhani alihisi nitamuacha sababu hata yeye hakuridhika na mahali hiyo na kutokana na familia yao hana haki hata ya kuchangia wazo kuhusu mahali kutokana na maelezo yake!Chakwnza wewe sio muoaji kwasababu. Tayali Ushaweka Ukalibu wakukaa Nyumba moja Nae au kulala kitanda nimoja Nae bila Ya ndoa ivo Ingekuwa muoaji kabisa Yani Tayali Ushapeleka Ulichokuwanacho kwenye iyo Mahali Ata iwe 500000 matumaini Hapo sasa Mpka Family Yake ishajua kwamba Yupo kwako kwakupika na kupakua Mpka kufikia malengo Ya ndoa Miaka Tayali ishapita pia Nijambo Mbaya kumficha Baba Ake Kwan Wenda kupungukiwa na Kipato chako na kujua kwamba kweli mwanawe Unamuitaji Bs Inshlla mwenyezimungu Angefanya wepes wake Kwa mwanawe ila Bado Unaendelea kuzini2 na kujua kila idala Yake Yeye me Naishia Hapo Kwanza
Wewe sio muoaji ama la basi umri wako bado sana....hakuna kitu kigumu cha kunyima raha kama kuishi mbali na mtoto wako wa kumzaa mwenyewe.Huyo mwanaume nae boya uniendeshe hivo, nachukua mwingine nakuachia wenu na nina uhakika baada ya mda nitaendelea kumla tena Kama nyumba ndogo.
Nyie Wajinga ndio mnaooa kwa kupelekeshwa pelekeshwa...ukiona wewe ni dhaifu usidhani ni wote ...huwa wanaangalia na watu, Mimi huniletei huo UPUMBAVU eti wa faini kwani tulibakana? Au nawezaje kulipa faini ya mwanangu niliyemzaaa?Wewe sio muoaji ama la basi umri wako bado sana....hakuna kitu kigumu cha kunyima raha kama kuishi mbali na mtoto wako wa kumzaa mwenyewe.
Usione watu wanaburuzana hadi mahakamani huko ama vikao vya familia kung'ang'ania watoto wao, ukiwa mbali na mtoto wako amani na furaha inatoweka kabisa.
Wazazi wa kichaga ndio wana hiyo tabiaKuna kijana alidhani kumtia mimba binti ndio atapewa mke kirahisi rahisi.
Wazazi wakakomaa.
Mtoto akazaliwa, mwanaume anadhani atapewa mwanamke lakini wapi.
Kosa alilolifanya alipigwa marufuku kutia mguu nyumbani kwa mwanamke. Mtoto akafikisha miaka miwili mwanaume haamini macho yake.
Ilibidi akaombe, alipe mahari na faini(hela ya matunzo ya mtoto yangu alipozaliwa) wakafunga na ndoa wakakabidhiwa mtoto sasa.
Kuna wazazi hawachezewi nyie, labda ujiandae kukaa mbali na mtoto wako hadi siku akutafute mwenyewe.
Sio udhaifu au UPUMBAVU kama unavyosema , ni utaratibu tu au ni kufuata mila na desturi za jamii zetu.Nyie Wajinga ndio mnaooa kwa kupelekeshwa pelekeshwa...ukiona wewe ni dhaifu usidhani ni wote ...huwa wanaangalia na watu, Mimi huniletei huo UPUMBAVU eti wa faini kwani tulibakana? Au nawezaje kulipa faini ya mwanangu niliyemzaaa?
Wewe endelea na udhaifu ukidhani kila aliye na mawazo tofauti na wewe ana umri mdogo...
Unaenda wapi?Toa robo sio nusu mwambie nyengine utamaliza ndo imetoka hio
Au mimba tu kama jamaa hapo juu alivyosema
Ukizishindwa hzo njia last option mwambie binti aongee na kwao we huna uwezo wapunguze Si anataka aolewe ataongea nao tu maana sio wazazi wanao olewa
Ikishindikana piga chini tafuta mwengine acha tabia ya sogeza tuishi huwez kaa na mtoto wa mtu bila ridhaa ya wazazi wake mikosi mingine ni ya kujitakia
Ngoja nikanywe bia we endelea kusubir michango mingine
Si wote wana sifa ya kuwa waume.Sio udhaifu au UPUMBAVU kama unavyosema , ni utaratibu tu au ni kufuata mila na desturi za jamii zetu.
Kuna mijitu imezoea kubisha hata akiambiwa atende vitendo vya kiungwana ambavyo wala havina madhara ni kubisha tu