shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,509
- 2,997
Kumbe hujawajua members vema🤣🤣 wewe tema hoja tembea watu hawakwaziki kizembe afterall nothing is serious in jfKama takuwa nimewakwaza watu samahanini
umeongea jambo la maana sana na la msingi mno 🐒Hodi wadau mm ni mgeni kiuanachama ila nimwenyeji kiusomaji .Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana.hoja yangu ni hii,
Kuna maisha nje ya dar.huku mikoani Kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.
Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.
Watu hawalali wanakesha kwenye magari .Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.
Joto,foreni,kelele Yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.
Kwaleo naishia hapa karibuni mpanda kalila tulime mpunga.
Mby Sehemu ganiKaribuni mbeya jamani
Hongera wa kijijini unayevuta hewa safi,tuachie hewa yetu ya dar🤓Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,
Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.
Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.
Watu hawalali wanakesha kwenye magari. Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.
Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.
Kwa leo naishia hapa karibuni Mpanda Kalila tulime mpunga.
Vp mchele au mpunga gunia shingapi ili tujeHodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,
Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.
Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.
Watu hawalali wanakesha kwenye magari. Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.
Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.
Kwa leo naishia hapa karibuni Mpanda Kalila tulime mpunga.
Pia hakuna fukara JF, wote wanamiliki ma vogue na wanaishi Oysterbay hivyo huu uzi hauwaathiri chochote maana hauwahusu😂😂😂😂Kumbe hujawajua members vema🤣🤣 wewe tema hoja tembea watu hawakwaziki kizembe afterall nothing is serious in jf
Karibuni mbeya jamani
Akikupa jibu kweli atakuwa wa mpanda na sio dar.Vp mchele au mpunga gunia shingapi ili tuje
Kumbe Mpaka ubahatike?Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.