Kuteseka Maganga
Member
- Jun 12, 2021
- 60
- 63
Nashauli vijana wenzangu kuto chagua kazi ya kufanya maana kazi moja hukupa conection ya kazi nyingine , . Nilianza kufanya kazi ya Ulinzi ktk kampuni ya G4S security kawa sasa nimepata Ajira rasmi , TPDF