Kwakuwa ni kijana huwezi kuelewa. Kuwa na subra.Hapa sasa umetunyima chakula cha ubongo. Funguka bhana Atoto vijana tupate uhondo [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 umeona ehhh, ndio maana namshangaa jamaa anaona Mzee kaopoa wakati wa kawaida sana Mzee aliyeopoa alikuwa Mengi kidogo na Kapuya.Hapo kondoa ni hatari nimetia nanga kwa mtoto WA kirangi hapo
Post yangu haihusiana na ulimbwende mkuu ukisoma vizuri utagundua nimezungumzia issues in general hasa kigezo cha umri wa kuoa na kuolewa hilo la urembo achana nalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona ehhh, ndio maana namshangaa jamaa anaona Mzee kaopoa wakati wa kawaida sana Mzee aliyeopoa alikuwa Mengi kidogo na Kapuya.