Nadhani nmesema kuhusu mpunga huku tabora na shinyanga bado gunia la mpunga liko chini halizid 45k so fursa na ishu ya tangawizi huku madaba songea jiongezeHapo bado hujatoa mchongo wowote,
Kila mtu anajua watu wanalima tangawizi.
Na kila mtu anajua kuna uuzaji wa mpunga na mchele kila mkoa.
Mchongo ulifaa kuwa.
Jamani nimepata soko au tajr ananunua mchele kilo 1.5k njoeni tumuuzie.
Au kuna sehemu wanauza mpunga kwa bei ndogo, njoeni mnunue hapo sawa.
Hapo ndio tungesema huu kweli mchongo
Nmeorodhesha yale nayoyafanya kama umeridhia mojawapo ruksa kuuliza! ili nkuelekeze zaidVijana au wewe pia hutoi mchongo.. sasa hapo si umeorodhesha tu mambo yakufanya.
Haya vijana kuna mchongo kuuza nguo za mtumba karume jamani changamkeni.
Kama mwanaume kweli nenda migodini kesho tu unakuwa vyema acha kupanga rangi kucha wamama.Habari gan wadau? kitambo nlipotea ila nilikuwa na michongo flan naipiga so nlikuwa bize kidogo...! Tatizo la VIJANA sisi ni wagumu kupeana michongo.
Ni hivi kuna ishu kama mbili tatu nlikuwa nazifanya amabazo now napiga mpunga tararibu ISHU hizo ni kama zifuatazo
1) FOREX...Ni kweli sema inahitaji muda kuanza kutengeneza faida
2) Kilimo cha tangawizi cha kumwagilia hii inakupa best gain hii haswa ule usem jembe hakimtup mtu hapa ndio penyewe
3) Biashara ya Mpunga na Mchele....Now mpunga huku shamba tabora na shinyanga upo chin so ukiwa na fedha ukanunua na kusafirisha Mikoa ambayo hailim unapata faida tosha
VIJANA TUSHEE MICHONGO weka mchongo wako. Tupeane fursa Umaskin sio ndugu yetu.....Chaaaooo!
Bado unaota ndoto za m mchanaHabari gan wadau? kitambo nlipotea ila nilikuwa na michongo flan naipiga so nlikuwa bize kidogo...! Tatizo la VIJANA sisi ni wagumu kupeana michongo.