Vijana tunakwama wapi??

Ni kwl mkuu ila kuna sehemu kuna tatizo.......
 
Zamani watu walikuwa wanawahi kuoa ndoa za heshima siku hizi utakuta mtu anamiaka 40 lakini bado hajaoa unazani ataona umuhimu wa kujenga?
Yn mtu yupo na 40 lkn bado anajiona msela......
 
Siku hizi wengi hatujengi sababu kumiliki gari ndio fasheni mjini hapa..
Unajua kuwa wachache sana wana uwezo wa kumiliki gari na kuba akiwa na pesa ya ziada ya kusukuma ujenzi sasa mtu net take home milion moja unasukuma crown cc2500..
Umepanga apartment laki 4 kwa mwezi totoz kwa sana nini kuna kujenga hapo unabaki na kiwanja miaka nenda rudi unaenda kukitazama kama mgonjwa
 
Nijenge nyumba wakati nalala ndani,nyumba wajenge wasiokuwa na pa kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…