Nimegundua sikuhz vijana wengi hatuwezi kujenga nyumba,nini ipo tabu???tunakwama wapi kwani??? mbona wazee wetu zamani unasikia "alikua muuza karanga na ana nyumba yake nzuri tu kajenga au alikua fundi viatu lkn ana nyumba yake kajenga"ila sisi baadhi yetu tuna kipato kizuri tu lkn kusimamisha mjengo mpk upambane kweli kweli.....
.TUSAIDIANE mawazo.....
Kujenga ni uoga wa maishaNimegundua sikuhz vijana wengi hatuwezi kujenga nyumba,nini ipo tabu???tunakwama wapi kwani??? mbona wazee wetu zamani unasikia "alikua muuza karanga na ana nyumba yake nzuri tu kajenga au alikua fundi viatu lkn ana nyumba yake kajenga"ila sisi baadhi yetu tuna kipato kizuri tu lkn kusimamisha mjengo mpk upambane kweli kweli.....
.TUSAIDIANE mawazo.....
HahahahaKujenga ni uoga wa maisha
Ukweli mchunguNyumba zinaishia kiunoni
mkuu maisha sio rahisi tenaNimegundua sikuhz vijana wengi hatuwezi kujenga nyumba,nini ipo tabu???tunakwama wapi kwani??? mbona wazee wetu zamani unasikia "alikua muuza karanga na ana nyumba yake nzuri tu kajenga au alikua fundi viatu lkn ana nyumba yake kajenga"ila sisi baadhi yetu tuna kipato kizuri tu lkn kusimamisha mjengo mpk upambane kweli kweli.....
.TUSAIDIANE mawazo.....
Hahah hebu acha kwa miezi 6 kunywa hizo Light uone kama utakua umejenga nyumba yako mkuu.Halafu hawa Serengeti light ndio wanatufirisi kabisa.Pombe gani unakunywa hulewi.
Nadhani nimeeleweka.
Kweli kabisaNyumba zinaishia kiunoni