Kuna sehemu amemtaja Ali Salim kuwa ni miongoni mwa waliofukuzwa CCM pamoja na maalim. Ukweli sio huo, Ali Salim hakuwahi kufukuzwa CCM. Enzi hizo mtu hawezi kufukuzwa CCM halafu ukaendelea kuwa waziri. Aliefukuzwa ambae hukumtaja no marehemu Maulid Makame alikuwa waziri wa AFYA wa Zanzibar
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app