ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 59
- 52
Amani huwa haifiki ulipo kwa urahisi kama hauupendi utulivu.Kwenye utulivu kuna utu.Utu maana yake usawazisho.Usawazisho ndiyo usawa.Usawa maana yake bila kupunja.Kupunja ni kutokuwa sawasawa.Sawasawa maana yake HAKI.Amani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia kikamilifu fursa zilizopo kama mazingira hayana utulivu. Hata mtu akiwa na mali nyingi, bila amani ndani ya nafsi na familia, mafanikio hayo yanakosa maana.
Hakuna amani bila haki. Usidhani watu wataendelea kuwa wajinga miaka yote.Amani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia kikamilifu fursa zilizopo kama mazingira hayana utulivu. Hata mtu akiwa na mali nyingi, bila amani ndani ya nafsi na familia, mafanikio hayo yanakosa maana.
Wamwagie shombo la samaki akaliwe na mijipaka.Akili za Kizimkazi.Vijjana tulinde aman, watu wakipora mabilioni yetu tuwataje waone aibu sio
well done gentleman,Amani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia kikamilifu fursa zilizopo kama mazingira hayana utulivu. Hata mtu akiwa na mali nyingi, bila amani ndani ya nafsi na familia, mafanikio hayo yanakosa maana.
Tangu kuumbwa kwa dunia na kuanzishwa kwa mataifa haya sasa hakujawahi kuwa na kitu kinaitwa Haki, ila kuna kuaminishana kwamba haki ipo.Vipi amani bila haki itawezekana?
Taifa gani unalolijua duniani linaendeshwa kwa haki?Amani hua hailindwi.
Amani hujilinda yenyewe kwa raia kupata haki zao.
Chini ya Hawa mizunguko wa watu! Hapana Kwa kweli bora vita tu japo sio nzur na wasio na hatia watakufa wengi ila bora vitaAmani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia kikamilifu fursa zilizopo kama mazingira hayana utulivu. Hata mtu akiwa na mali nyingi, bila amani ndani ya nafsi na familia, mafanikio hayo yanakosa maana.