VIJANA ndo tutaitoa CCM Madarakani!

VIJANA ndo tutaitoa CCM Madarakani!

Naweza kusema kuwa chadema ilikuwa walau na nguvu kidogo
lakini hii ya kufungua chama cha ushirika itafanya vijana wengi warudi CCM.
 
Dada yangu wewe unaona mbali sana nimependa huu mchango wako.
 
Habar Wana JF Naomba Nitoe Angalizo Kwa Wazee Wetu Yaani Wakina Mama,Baba,Na Babus Zetu Tunawaomba Mtupe Nafasi 2015 Tuiweke Pembeni CCM Maana.

Naona Mlikuwa Mnapiga Kelele Miaka Yote Na Mimi Nilikuwa Nawaangalia Tu Na Ndotto Zenu Za Kuiondoa CCM Kipindi Hicho CUF Ina Nguvu Na Kila Nilipokuwa Nikiwasikia CUF Sikuona Speech Za Maana Zaid Ya Maneno Ya Kanga (Mfno) Mbalala Maharagande Morogoro Alikuwa Akisema CCM Ni Raini Kama Maini Akaja Ripumba Nikamsikia Anasema CCM Kifo Cha Mende Chalii Miguu Juu!!

Lakin Lakin Alipokuja Dk Slaa Sikusikia Maneno Ya Unazi Wala Ushabiki Usio Na Tija Kila Mtu Alie Shika Mic Alitoa Speech Kwa Muda Na Kurud Kuketi Bila Bwebwe !! Nina Maana Gan?

Naomba Cuf Waache Mala Moja Siasa Uchwala Na Kusema CCM Nyepesi Kama Main Wakati Kila Mwaka Inawashinda Kuitoa On Top!!

Mwenye Kujua Naomba Aniambie Ni Lini Daftar Za Kuandikisha Wapiga Kura Litakuwa Uraian Ili Nipate Kadi Yangu Mapema!! Kwa Sababu Sijawahi Kupiga Kura Hata Mwaka Mmoja Ila 2015 Watanikoma

Nyie Chadema Acheni Mambo Ya Kipuuzi Msikubali Kufanya Kampeni Bila Ya Tume Huru Ya Uchaguzi Kwani Kama Hakuna Tume Huru Ya Uchaguz Simshaur Kijana Yeyote Kwenda Kupiga Kura Maana Itakuwa Kazi Bure Na Mimi Siwezi Kwenda Ng'o

Nimeandika Haya Baada Ya Kuona Hasira Na Mori Tulio Nao CC vijana Wa Kuingia Faster Kwenye Siasa!! Na Kutaka Kupiga Kura!! Bila Ya Wazee Naamin Kazi Hii Sisi Vijana.

Tunaweza Kufanya Mabadiliko Ya Maana Na Dunia Yote Ikashangaa

Swala si kuiondoa CCM madarakani. Wewe unakusudia kufanya nini ukiingia madarakani? Kama unataka kwenda kufanya ufisadi, basi ni bora tubaki na hao hao CCM. So, you youngman, be careful with your sweeping statemets. Acha hizo we dogo.
 
Kaka huyu dada mwanzoni nilikuwa na wasiwasi naye lakini kadri siku zinavyokwenda naona ameanza kuwa muelewa,sio lazima kuhama ndipo uonekane unafaa,mpambanaji siku zote anapambana ndani kwa ndani na kuwaondoa maadui,sisi tutaendelea kupambana na wadhalimu na mafisadi walioko ndani ya ccm na tunajua tutawashinda tu,lakini yote kwa yote ccm itaendelea kuwa madarakani kwa sababu bado sijaona chama strong ambacho kinaweza kuongoza nchi hii.
 
hawa magamba wanajipa moyo2,lakini uhalisia wa mambo uko kinyume nao kabsa,takriban 70%ya voter uchaguz ujao 2takua ni vjana haswaaa!
 
mimi nadhani kazi ya vyama hivi wahakikishe watu wengi wanajiandikisha then wasisitize watu wakapige kura wengi ilo ndio pigo kwa CCM,maana nakuambia hata mawe Tanzania yakipiga kura hawawezi kuichagua ccm,ccm huwa wanashinda kwa,1 kuiba kura
2 kutumia dola kutisha wananchi
3 kutumia vyombo vya umma kwa maslahi yao CCM kama kutumia magari ya serikali ya mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya
4 kuhakikisha katika tume ya taifa kuna watu wao CCM mkumbuke Rajabu KILAVO
5 KUTISHA NA KUHAKIKISHA watu wasio waunga mkono CCM hawapigi kura
 
Kaka huyu dada mwanzoni nilikuwa na wasiwasi naye lakini kadri siku zinavyokwenda naona ameanza kuwa muelewa,sio lazima kuhama ndipo uonekane unafaa,mpambanaji siku zote anapambana ndani kwa ndani na kuwaondoa maadui,sisi tutaendelea kupambana na wadhalimu na mafisadi walioko ndani ya ccm na tunajua tutawashinda tu,lakini yote kwa yote ccm itaendelea kuwa madarakani kwa sababu bado sijaona chama strong ambacho kinaweza kuongoza nchi hii.

SIAMINI uyasemayo. Tafadhali maCCM ficheni UJINGA wenu. Hata kikiwepo chama cha BENKI YA DUNIA. Mabadiliko YAKUWANG'OA yapo pale pale. #WAAMBIE WENZIO!!!
 
Nilivyo Andika Haya Nilomba Mwenye Kujua Lin? Daftar La Kudum Litakuwa Uraiani Kwa Maana Ya Kutoa Nafasi Kwa Vijana Na Walio Poteza Kadi Kujiandikisha!! Naona Mna Toa Vijembe Vya Kisiasa Tu Mara Elimu Yangu Ya Ugoko!! Mara Nini?? Lakin Hakuna Alie Niambia Ni Lini Kwa Nini Nauliza Mambo Hayo Yenye Mlengo Wa Siasa lengo Nijue Kipindi Niwe Karibu Na Kipindi Husika. Na Wale Mlio Sema Elimu Yangu Ya Ugoko Sawa Sikatai Sijawahi Kwenda Kusoma Nje Ya Nchi. Wala Sijawahi Kusoma St Nan? Elimu Yangu Ya Ugoko Itanisaidia Mimi Leo Na Familia Yangu Kesho Wewe Ulie Soma St Nan? Elimu Yako Kwa Manufaa Yako Na Familia Yako Naomba Jibu Muda Gan??
 
japo umeandika kwa haraka lakini nimekuelewa , ukiweka tume huru ya uchaguzi hata kesho nina uhakika MWIGULU na NAPE keshokutwa asubuhi wanajiuzulu uongozi wa ccm ! Heri lawama kuliko fedheha .
 
Swala si kuiondoa CCM madarakani. Wewe unakusudia kufanya nini ukiingia madarakani? Kama unataka kwenda kufanya ufisadi, basi ni bora tubaki na hao hao CCM. So, you youngman, be careful with your sweeping statemets. Acha hizo we dogo.

Lengo Tubadili Uongozi Kwa Lengo La Kuwahakikishia Wazee Wangu Dawa Zipo Hospital Na Elimu Bora Ipo Maji Umeme Barabara Safi Ili Kila Mtafuta RiZiki Yake Asipate Vikwazo!! Ni Hayo!!Tu
 
Mi kijana ccm ndo chama makini cha kuleta maendeleo kwa wananchi wake tuache ushabiki tumieni ubongo je ikitoka wapewe akina nani twambieni?ccm ndo chama kinachojali vijana na kuaandaa sio kutokea ziwani unakuwa rais mnamuona Mwiguru nchemba kijana na kapewa majukumu makubwa ya chama yuko ungeleza uliza babu silaa hoi anakula bata na mkewe.
 
Kaka huyu dada mwanzoni nilikuwa na wasiwasi naye lakini kadri siku zinavyokwenda naona ameanza kuwa muelewa,sio lazima kuhama ndipo uonekane unafaa,mpambanaji siku zote anapambana ndani kwa ndani na kuwaondoa maadui,sisi tutaendelea kupambana na wadhalimu na mafisadi walioko ndani ya ccm na tunajua tutawashinda tu,lakini yote kwa yote ccm itaendelea kuwa madarakani kwa sababu bado sijaona chama strong ambacho kinaweza kuongoza nchi hii.
kitakacho ondoa chama cha kifisadi madarakani ni kura za wna nchi si maono yako ya chama kipindi, mzee umechelewa kinacho kuja...subiri!
 
Mi kijana ccm ndo chama makini cha kuleta maendeleo kwa wananchi wake tuache ushabiki tumieni ubongo je ikitoka wapewe akina nani twambieni?ccm ndo chama kinachojali vijana na kuaandaa sio kutokea ziwani unakuwa rais mnamuona Mwiguru nchemba kijana na kapewa majukumu makubwa ya chama yuko ungeleza uliza babu silaa hoi anakula bata na mkewe.
akili zako bado ni ndogo sana... kukuelewesha, baada ya miaka miwilli unaweza kuelewa, not now!
 
Mi kijana ccm ndo chama makini cha kuleta maendeleo kwa wananchi wake tuache ushabiki tumieni ubongo je ikitoka wapewe akina nani twambieni?ccm ndo chama kinachojali vijana na kuaandaa sio kutokea ziwani unakuwa rais mnamuona Mwiguru nchemba kijana na kapewa majukumu makubwa ya chama yuko ungeleza uliza babu silaa hoi anakula bata na mkewe.

Hivyo ndivyo unavyokitetea Chama chako kongwe cha CCM?Si ajabu kizazi cha Whassup/Twitter/Facebook kinawakimbia kwasababu ya kutoeleweka kwenu.Wewe kama mtetezi wa CCM ulipaswa kumbadilisha mmawazo kwa kujenga HOJA yenye nguvu ya kwanini aendelee kuiamini CCM huku ukimwaga data ya namna CCM yako ilivyowasaidia vijana kujenga maisha yao mazuri na mipango yenu ya baadaye ya kuyafanya maisha yao kuwa bora zaidi,Badala yake unakimbilia kumkashfu Dr Slaa!Kwa mtaji huo hamtazipata kura za vijana kamwe.Vijana wengi walio na umri kuanzia miaka 16 wanapenda Vyama vya Upinzani kama fashion na ndio wapiga kura wa 2015.CCM mnayo kazi kubwa mbele yenu
 
Habar Wana JF Naomba Nitoe Angalizo Kwa Wazee Wetu Yaani Wakina Mama,Baba,Na Babus Zetu Tunawaomba Mtupe Nafasi 2015 Tuiweke Pembeni CCM Maana.

Naona Mlikuwa Mnapiga Kelele Miaka Yote Na Mimi Nilikuwa Nawaangalia Tu Na Ndotto Zenu Za Kuiondoa CCM Kipindi Hicho CUF Ina Nguvu Na Kila Nilipokuwa Nikiwasikia CUF Sikuona Speech Za Maana Zaid Ya Maneno Ya Kanga (Mfno) Mbalala Maharagande Morogoro Alikuwa Akisema CCM Ni Raini Kama Maini Akaja Ripumba Nikamsikia Anasema CCM Kifo Cha Mende Chalii Miguu Juu!!

Lakin Lakin Alipokuja Dk Slaa Sikusikia Maneno Ya Unazi Wala Ushabiki Usio Na Tija Kila Mtu Alie Shika Mic Alitoa Speech Kwa Muda Na Kurud Kuketi Bila Bwebwe !! Nina Maana Gan?

Naomba Cuf Waache Mala Moja Siasa Uchwala Na Kusema CCM Nyepesi Kama Main Wakati Kila Mwaka Inawashinda Kuitoa On Top!!

Mwenye Kujua Naomba Aniambie Ni Lini Daftar Za Kuandikisha Wapiga Kura Litakuwa Uraian Ili Nipate Kadi Yangu Mapema!! Kwa Sababu Sijawahi Kupiga Kura Hata Mwaka Mmoja Ila 2015 Watanikoma

Nyie Chadema Acheni Mambo Ya Kipuuzi Msikubali Kufanya Kampeni Bila Ya Tume Huru Ya Uchaguzi Kwani Kama Hakuna Tume Huru Ya Uchaguz Simshaur Kijana Yeyote Kwenda Kupiga Kura Maana Itakuwa Kazi Bure Na Mimi Siwezi Kwenda Ng'o

Nimeandika Haya Baada Ya Kuona Hasira Na Mori Tulio Nao CC vijana Wa Kuingia Faster Kwenye Siasa!! Na Kutaka Kupiga Kura!! Bila Ya Wazee Naamin Kazi Hii Sisi Vijana.

Tunaweza Kufanya Mabadiliko Ya Maana Na Dunia Yote Ikashangaa
Mkuu siyo vijana tu ndiyo wenye uwezo wa kuleta mabadiriko, yaani kukiondoa chama tawala mdarakani,bali ni watanzania wote kwa ujumula na umoja wao kama wataoana inafaa kufanya hivyo wakati wa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom