Vijana na changamoto ya ajira

Vijana na changamoto ya ajira

teamsuccess

Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Habari, najua waweza kuwa nje ya Dar nakuomba tuma ujumbe huu kwa watu unaowajua wahishio Dar utakuwa umeonyesha kujali "Jumatatu ya leo tarehe 28.7.2014 saa 12 jioni hadi saa 2 usiku tumebahatika kupata udhamini ili kuweza kujadili mstakabali wa taifa juu ya vijana na ajira.

Tukio hili ni kwa wenye mapenzi mema na Tanzania. Halitakuwa na kiingilio. Wapi - Millennium Tower kijitonyama ghorofa ya pili. Wahi kwa kujiandikisha kwa namba hii 0769530240 only 160 seats reserved for the function. First come first served basis to apply."
 
Back
Top Bottom