Vijana mtakuja kufia gym

Vijana mtakuja kufia gym

Mkeo anapiga mazoezi wewe umelala ndani, halafu unajisifu we mwanaume? Utanunua vumbi la Kongo muda siyo mrefu.
Sfa ya kuwa mwanaume ni kutokua na shobo. woote wamesoma hawajauliza hili swali ila wewe umekula maharage sasa unatoa harufu unaona utype utumbo hapa ili ukufariji... Any ways mimi mke wangu nimempeleka GYM mimi kwa sababu anaishiwa pumzi wakati wa tukio na pia nataka afanye squirt avute tako nimechoka kummezea mate secretary wangu kila siku
 
Kutafuta nyonyo ....ambazo ninyi mnatakiwa mzinyonye kama chungwa

sio jambo la mchezo mchezo ......nakumbuka zamani wakati sina mwili

wa maana ...mpenzi wangu wa wakati ule aliniambia ....kifua changu

chembamba kama kidali cha njiwa......nilisikitika mno....
[emoji23][emoji23][emoji23]. Umenikumbusha mbali mkuu, niliambiwa niko flat tumbo na kifua sawasawa. Baada ya kuingia gym mambo safi.

Lakini haikuwa rahisi.
 
Sfa ya kuwa mwanaume ni kutokua na shobo. woote wamesoma hawajauliza hili swali ila wewe umekula maharage sasa unatoa harufu unaona utype utumbo hapa ili ukufariji... Any ways mimi mke wangu nimempeleka GYM mimi kwa sababu anaishiwa pumzi wakati wa tukio na pia nataka afanye squirt avute tako nimechoka kummezea mate secretary wangu kila siku
Hilo wowo wowo la mkeo lilikufanya umunange kimbaombao mwenzako limetoweka?
 
Hilo wowo wowo la mkeo lilikufanya umunange kimbaombao mwenzako limetoweka?
kipindi ananza gym lilikua halipo lilikua bapa kabisa ila skuizi mwemwemwe, mpaka nikimuona naona kama nachepuka vile maana kavutaaaa
 
Hahaha...nakumbuka nilienda na wife gym jioni nikakuta vipande vya maana aisee....Nahisi walikuwa walinzi wa night club basi nikafika pale nikaanza kufanya mazoezi ya miguu kwa kuendesha zile mashine..Nika mcheki baby naona anashangaa yale majamaa yanayo beba machuma mazitoooo

Basi kidume nikaona sio issue nikamwambia wife...kichwa kinauma tusepe.Tukasepa zetu njiani akaanza kuniuliza wale jamaa watakuwa wanakula chakula kiasi gani...

Daaah!...nilivyo waponda Mungu mwenyewe ndio anajua....Full kumtia kamba kwamba wale ni madawa wana tumia alafu ni walinzi wa maclub nika malizia wanaua misuli yao ndio maana wengi wao ni ......

Basi kuanzia hapo si kwenda tena gym nina vimashine vyangu home.

Haha mkuu nimecheka kweli wivu huu haujawahi kutuacha salama mkuu lkn ndo asili yetu binaadam ya kutaka tuwe wenyewe tu japokuwa wataalam wanasema binaadam ni myama jamii kwa maana mambo ya kumiki labda mume/mke/mpenzi ni utaratibu tu wa jamii ili kuishi bila mizozo na magomvi

Hata wewe/ yeye kuna kipindi anatamani labda body flani sema ndo mtu anachelea mipaka ya jamii tu lkn wengine wanaenda kwenye silika yetu wanajilipua tu
 
hahha niliwah kumwambia mtu hil tukabishana san.
 
Back
Top Bottom