byeyombo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 3,925
- 5,193
Wale vibaka na magaidi au?Kaa kwa kutulia, hii vita sio ya kila mtu.
Damu ya vijana iliyomwagika itaenda kuirudisha Tanganyika.
Rasimu ya katiba ya Warioba yenye serikali tatu ni lazima itafufuliwa.