Vijana msioe kama bado hamjajipanga, unakuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo, ist, vitz n.k

Yaani amwigizie maisha mkwewe, hizo ni akili za kitoto na huna sifa ya kuoa. Mtu anayeoa ni yule aliyekia kiakili na kuishi maisha halisi ili awe huru kufanya mambo yake. Maisha yanatofautiana, huwez kusubiri mpk uwe tajiri ndipo uoe ilihali hujui hata destiny yako. Usichanganye hisia za mapenzi na material
 

hiwe ina bidi upate sehemu yako ya bepari la kihaya.
hata kwa sifa hizi
 
Natafuta tusi moja nikutukane sema nimekusamehe maana nyuma ya keyboard uwenda nawe unamwomba mungu upate chakuamshia kinywa siku ya leo
 
Hongera Mhaya kwa kumiliki magari ya kifahari
Mimi ninavyojua Kila mtu anayeishi maisha ya uwezo wake lazima atakua na amani moyoni usitulazimishe tuishi maisha yako
 
Màisha yanapishàna sana.kuna jamaa bàada ya kuoa baba ake akawa anampatia 1 MILL kila mwezi akimwambia najua kazini kwenu hamna mshahàra.wakati aliyeolewa name ana mshahara.
 
Hahahaha sio kwa povu hili we mtu nimekumiss
kijana mpumbavu huyu anatuletea hekaya za abunuwasi anaandika kuhusu range huku hata boxer hana...


mekumiss pia insta babe... leo asubuhi nilikuwa nakutafuta kwenye chocho zako hadi nikakupata nahisi uliona salamu zangu
 
kijana mpumbavu huyu anatuletea hekaya za abunuwasi anaandika kuhusu range huku hata boxer hana...


mekumiss pia insta babe... leo asubuhi nilikuwa nakutafuta kwenye chocho zako hadi nikakupata nahisi uliona salamu zangu
Mh mbona sijaona hizo salaam jamani ulifika chocho gani uko insta babe
 
Mwandishi wa uzi huu hata pikipiki aina ya Boxer sidhani kama amewahi kuimiliki.
Na kama anayo basi alinunua hizi used za laki 8.
 
Kwa maoni yangu wewe ni mpumbavu sana.
Kwa hiyo wasio na magari wasioe?
 
We ndo mjinga uliyeleta mada hii, kwani mama mkwe ni Mola? Huenda huko alipo hata gari tu hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…