litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 731
- 1,376
Wewe ni mtoto wa Clemence Mwandambo?Mara ooh sins chapaa mtoto mzuri awezi nikubali,mara ooh sina kitu
Hebu acha nitoe ushuhuda wangu binafsi.mimi kuna time sikuwa naela, nilikuwa na life gumu kidogo
Nilipata offers nyingi kuotka kwa wadada wa kawaida mno ambao sikuwapenda.so nilidecline ofa zao
Nilijiamin ingawasikua na ela
Niliamini kwenye kujiamini na akili
So nilikiwa natongoza pisi kali tu na nilikua nakojolea pisi kali tupu
Why nilifanikiwa?
Kujiamini. Just that
Sikulalana mwanamke kwakua Nina nyege
Nililala namwanamke kwa kua alikuapisi Kali
Mbona mnakuamalofa vijan?
Km mm niliweza why ushindwee?
Why unajiona so cheap to thay point?
Change, be focused
Inawezekana, kama mwanaume una muonekano mzuri (handsome) Yohimbe barkHuwezi kuwa na maisha magumu ukala pisi kali never.
Inawezekana, kama mwanaume una muonekano mzuri (handsome) Yohimbe bark
Ww umeshajikatia tamaa... Ok pumzika kwa amaniHuwezi kuwa na maisha magumu ukala pisi kali never.
Unachobisha nn sasa? Hivi vitu abc's ni chache mno... Ni kuwa smart tu kichwan...ukiwa smart kichwan the game is overMkuu hii ina apply sana sna Secondary, Advance, Mpaka Chuo.
Beyond that, hata kama wewd ni handsome utachakaa, Utafubaa na utakua unanuka vumbi tuu.
Yaani uwe handsome unaendesha boda boda? Utakula Wanachuo labda sio pisi kali za mjini
Unachobisha nn sasa? Hivi vitu abc's ni chache mno... Ni kuwa smart tu kichwan...ukiwa smart kichwan the game is over
Naona umedislike.Mara ooh sins chapaa mtoto mzuri awezi nikubali,mara ooh sina kitu
Hebu acha nitoe ushuhuda wangu binafsi.mimi kuna time sikuwa naela, nilikuwa na life gumu kidogo
Nilipata offers nyingi kuotka kwa wadada wa kawaida mno ambao sikuwapenda.so nilidecline ofa zao
Nilijiamin ingawasikua na ela
Niliamini kwenye kujiamini na akili
So nilikiwa natongoza pisi kali tu na nilikua nakojolea pisi kali tupu
Why nilifanikiwa?
Kujiamini. Just that
Sikulalana mwanamke kwakua Nina nyege
Nililala namwanamke kwa kua alikuapisi Kali
Mbona mnakuamalofa vijan?
Km mm niliweza why ushindwee?
Why unajiona so cheap to thay point?
Change, be focused
Umejikinai vbaya mno... Mm ni mbishi, hlf ni kiburi. Hizo za Masaki nishazila mno... Unaweza kua smart kichwani ila usiwe na hla kwa wakt huo kwan mipango haijaiva... Ila ukawa nazo mbeleniMkuu ukishakua smart kichwani, lazima utakua na hela tuuu. Au wewe mwenzetu usmart wako ni kwenye kumbato na kutongoza tuu?
Yaani huna hela, huna mchongo, Huna biashara, Unakaa kwenye geto lako Tandale unaleta kujiamini kisenge uvute pisi kali inayo kaa masaki? Hell NO.
Utakula pisi kali ndio lkn n hizo hizo zinazokaa Tandale, Na Mnafanana kiwango cha mawazo na uchumi
Sasampa ndo nnNaona umedislike.
Naomba niongezee.
Bro Kila mtu ana pisi kali yake.
Ila Pia jua Pisi ambayo ww unaona kali pamoja na kujiamini kwako inaweza kuwa ya kawaida tu kwa Busu la Kenge na isimsumbue.
Na Kujiamini tu hakutoshi.
Labda kwa hao wasichana wadogo.
Ila Ukikua utajua kuwa bila SASAMPA Huwez kujiamini.
Muonekano mzuri kama una maisha magumu unapotea mkuu. Btw sikupingi mkuu.Inawezekana, kama mwanaume una muonekano mzuri (handsome) Yohimbe bark
Pisi kali zinataka huduma mkuu. Umlipie apartment, umpe pesa za matumizi kila wakati, umpeleke sehemu za starehe kula bata, sasa pisi gani itakuvulia hujaipa huduma yoyote? Ni dada zako?? Labda kwa wanachuo mayb watashoboka na ubishoo wako ila maisha ya mtaani sahau. Ungesema ukiwa na muonekano mzuri unapata mishangazi yenye hela ningekuelewa. Btw sikupingi ni mawazo yangu tuu.Ww umeshajikatia tamaa... Ok pumzika kwa amani
Waambie mkuu, mjini pisi kali zinataka huduma sio uhendisam na ubishoo that's why most of them wanadate na vibabu ili wapate huduma, na utakuaje na maisha magumu uwe handsome??? Uhandsome unahitaji matunzo.Mkuu hii ina apply sana sna Secondary, Advance, Mpaka Chuo.
Beyond that, hata kama wewd ni handsome utachakaa, Utafubaa na utakua unanuka vumbi tuu.
Yaani uwe handsome unaendesha boda boda? Utakula Wanachuo labda sio pisi kali za mjini