vijana mambo vp

kiwadama

Member
Joined
Feb 9, 2011
Posts
13
Reaction score
0
jamani mimi ni mgeni ktk jamii hii, nategemea ushirikiano wenu ktk kutimiza malengo yetu. Mungu awe nanyi.
 
jamani mimi ni mgeni ktk jamii hii, nategemea ushirikiano wenu ktk kutimiza malengo yetu. Mungu awe nanyi.
Karibu sana,ila umeingia na kaubaguzi hivi maana salamu yako imewalenga vijana tu wakati JF ina rika tofauti.
 
mimi sio kijana na hivyo sikukaribishi........:A S thumbs_down:
 
We SOKON-1 habari za Daraja2?
Kma vile nilikutana na wewe pale jana!~:sick:

ha ha ha!muone vile badala ukaribishe mgeni unaulizia daraja2,cjui3!kwanini isiwe temi au sinoni?haya mletee huyu mgeni sheria za JF haraka


BTW KARIBU MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…