Mafyangula JF-Expert Member Joined Jan 16, 2025 Posts 505 Reaction score 887 Sep 28, 2025 #1 Vijana wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani wamesema watatimiza haki yao ya kupiga kura kwa kujitokeza kwenye Vituo vya kupigia kura Oktoba 29 mwaka huu. Aidha, wameeleza kuwa Vyama vya upinzani haviwezi kushika madaraka kwa vina migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na tamaa ya kushika dola. Your browser is not able to display this video.
Vijana wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani wamesema watatimiza haki yao ya kupiga kura kwa kujitokeza kwenye Vituo vya kupigia kura Oktoba 29 mwaka huu. Aidha, wameeleza kuwa Vyama vya upinzani haviwezi kushika madaraka kwa vina migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na tamaa ya kushika dola. Your browser is not able to display this video.