Vijana hawa watatufaa BAVICHA taifa

Vijana hawa watatufaa BAVICHA taifa

Namkumbuka sana Mwalimu Fredy C. Hatari kabla hajafukuzwa Udsm, alikuwa na rafiki yake maarufu kama Al-Shaabab (Mabirika mawazo).

Walikuwa marafiki sana na viongozi wa migomo sana. Na wote walifukuzwa, watawafaa sana CDM maana sera ya CDM ni migomo.

siku ya jana uongozi
wa vijana taifa wanaotarajia kumaliza muda wao hivi punde wametangaza
tarehe ya uchaguzi wa baraza la vijana taifa (BAVICHA) na pia kutangaza
kutogombea tena uchaguzi ujao. kwa mtazamo wangu vijana hawa wanatufaa
kuongoza jahazi la uchaguzi wa 2015 na hatimaye kushika dola 2015. safu
ya uongozi huo ni kama ifutayo.
1. M/Kiti Taifa ........ HATARI FREDY CHACHA
2. Makamu/kiti......... NUSRAT HANJI
3. KATIBU ............. MRUTA JULIUS
4.N/KATIBU ............ PHILIP MWAKIBINGA
5. Mwenezi ............. DANIEL NAFTARI
6. M/Hazina .............ZAINAB MUDHIHIR

kwa upande wa zanzibar naomba mapendekezo yenu.


nawasilisha:
 
siku ya jana uongozi wa vijana taifa wanaotarajia kumaliza muda wao hivi punde wametangaza tarehe ya uchaguzi wa baraza la vijana taifa (BAVICHA) na pia kutangaza kutogombea tena uchaguzi ujao. kwa mtazamo wangu vijana hawa wanatufaa kuongoza jahazi la uchaguzi wa 2015 na hatimaye kushika dola 2015. safu ya uongozi huo ni kama ifutayo.
1. M/Kiti Taifa ........ HATARI FREDY CHACHA
2. Makamu/kiti......... NUSRAT HANJI
3. KATIBU ............. MRUTA JULIUS
4.N/KATIBU ............ PHILIP MWAKIBINGA
5. Mwenezi ............. DANIEL NAFTARI
6. M/Hazina .............ZAINAB MUDHIHIR

kwa upande wa zanzibar naomba mapendekezo yenu.


nawasilisha:

zanzibar kuna bavicha kwani?
 
Udsm gani unayoizungumza wewe ambayo Mruta ana CV nzuri kuliko ya Hatari na Danny Naftali? Udsm ipi hiyo hebu tukumbushe sisi ambao tumesoma pale miaka mitano japo ilitakiwa tukae pale miaka minne.

Udsm hiyo ya Mruta kuvuka level za Naftal na Hatari haipo. Hao vijana wanatakiwa waje CCM wajenge nchi waachane na mambo ya ubabaishaji huko CDM.

Dan hana sifa sababu
sio mzuri katika kujenga hoja ila hua anapayuka kuliko kujenga hoja,
pili ana hasira za karibu so ni vema akawa mwenezi kutoka na sifa tajwa
hapo juu. Mruta ni mzuri kujenga hoja na strategist na hata ukimtazama
vipindi vya kipima joto hua anaonyesha uwezo wake. Hatari nae ni mzuri
pia kama mruta ila strong zaidi hadi leo prof mukandala anajua pale
alipokua anawaongoza vijana level square.
 
Udsm gani unayoizungumza wewe ambayo Mruta ana CV nzuri kuliko ya Hatari na Danny Naftali? Udsm ipi hiyo hebu tukumbushe sisi ambao tumesoma pale miaka mitano japo ilitakiwa tukae pale miaka minne.

Udsm hiyo ya Mruta kuvuka level za Naftal na Hatari haipo. Hao vijana wanatakiwa waje CCM wajenge nchi waachane na mambo ya ubabaishaji huko CDM.

Hata miye namshangaa huyu kijana anayemfananisha na kijana hatari Daniel Naftali.
 
Hao wote watakataliwa na Mbowe ,mtei na Slaa.
 
Yeyote atafaa CDM kwa investment ya vijana wako njema
 
Jamani ctasema lolote kuhusu wengine lakini kama tunataka kulijenga hili taifa, vijana wenye matusi kama huyo Mwakibinga hawafai kabisa,anaweza kuwa mwanaharakati na mpiga debe wa chama lakini si kiongozi wa kitaifa.
 
Chadema Kina kila Sababu yakuongoza Nchi Kwanza inahazina ya wasomi na watu wenye kuelewa tulipotoka, tulipo na tuendako. Uchaguzi wa Baraza la vijana Taifa Bavicha kuna hazina ya vijana kama Mfano Ephata Nanyaro anayewania kinyanganyiro cha Uwenyekiti wa Bavicha Taifa Tumeona Mengi aliyofanya Arusha moja wapo kwenye Shule ya Levolosi. Chadema tumeanza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu
 
Mod kutuchanganyia habari mbili kua habari moja siyo ugwana nakuomba huo uzi wangu ujitegeme Mod
 
Tatizo lililoko CHADEMA ni sawa na lililoko kwenye Chama Cha Magamba (CCM),Wanapenda kuwabeba watu wasio na sofa kushika nyadhifa flani ili mradi wawe tayari kuwalamba miguu na kuwakubalia kila jambo pasipo kuhoji,Akitokea mtu mwenye sifa lakini asiyekubali kuyumbishwa utafanyiwa fitina mpaka aukose huo uongozi.Pale BAWACHA kuna Liliane Wassira,ana sifa zote za kuiongoza ile taasisi ila sitashangaa nikisikia anapewa mwanamke mwingine asiye na sifa lakini aliyekaribu na wakubwa.Hizi ndiyo siasa za Kibongo zilizojaa usanii mtupu.
 
Back
Top Bottom