happiness win JF-Expert Member Aug 30, 2011 2,461 1,384 Oct 23, 2012 #21 kigoda said: Namuombea kazi kwa CAMEROON. n Click to expand... Acha maskhara bana! Hivi kweli utafurahia vitendo hivyo hadi kumtafutia kazi? bila shaka unaota tuuuuuuu
kigoda said: Namuombea kazi kwa CAMEROON. n Click to expand... Acha maskhara bana! Hivi kweli utafurahia vitendo hivyo hadi kumtafutia kazi? bila shaka unaota tuuuuuuu
gfsonwin JF-Expert Member Apr 12, 2012 18,274 20,673 Oct 23, 2012 #24 nyantella said: Hapo kwenye red, yaani muda huu unafanya nini jamvini badala ya kuwa darasani? Click to expand... nakwenda kwa ratiba na ndivyo nilivyo. kwan mie dawati ama ubao nikae darasani?
nyantella said: Hapo kwenye red, yaani muda huu unafanya nini jamvini badala ya kuwa darasani? Click to expand... nakwenda kwa ratiba na ndivyo nilivyo. kwan mie dawati ama ubao nikae darasani?
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,442 5,807 Oct 23, 2012 #25 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Yeleuwiiiiiii, jamani hawa wanakojolea maadili yetu mnawaangalia tu yaani Cameron @ work kabisaaa. Wazee wa uamsho njooni huku na bakora zenu....
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Yeleuwiiiiiii, jamani hawa wanakojolea maadili yetu mnawaangalia tu yaani Cameron @ work kabisaaa. Wazee wa uamsho njooni huku na bakora zenu....
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,442 5,807 Oct 23, 2012 #26 MadameX said: Usenge.com Click to expand... Hiyo link mbona siipati yakheeeee.
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Oct 23, 2012 #27 sosoliso said: Mkuu hii lugha imeniacha hoi.. Hebu nijuze tafadhali hiyo verb ina-apply kwa tigo au voda.. au kote kote..? Click to expand... Hiyo ni kwa tiGO tu mkuu
sosoliso said: Mkuu hii lugha imeniacha hoi.. Hebu nijuze tafadhali hiyo verb ina-apply kwa tigo au voda.. au kote kote..? Click to expand... Hiyo ni kwa tiGO tu mkuu
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Oct 23, 2012 #28 gfsonwin said: nakwenda kwa ratiba na ndivyo nilivyo. kwan mie dawati ama ubao nikae darasani? Click to expand... A very perfect answer, sidhani kama atakuwa na swali la nyongeza
gfsonwin said: nakwenda kwa ratiba na ndivyo nilivyo. kwan mie dawati ama ubao nikae darasani? Click to expand... A very perfect answer, sidhani kama atakuwa na swali la nyongeza