Nop mimi biashara nishaianza mkuu, from the scratch na nishaweka mtaji si chini ya m5 till now, ila kwa hapa naona bila kupata mtaji wa maana nitaendelea kustruggleBiashara ina tabia ya kuanza kidogo kidgo na kukua ila hiyo ya kwako ya kupata mtaji mkubwa uanze juu ,kinyume na uwezo wako sijaelewa kabisaš¤
Kama tayari una biashara na ina mzunguko wa kueleweka unaweza kupata mkopo kwenye Bank na kufanya marejesho yako kulingana na mzunguko wako mkuu.Nop mimi biashara nishaianza mkuu, from the scratch na nishaweka mtaji si chini ya m5 till now, ila kwa hapa naona bila kupata mtaji wa maana nitaendelea kustruggle
Fuatilia mkuu, mikopo na nidhamu ya pesa imewatoa wengi mno.Nitafuatilia mkuu,
Kama tayari una biashara na ina mzunguko wa kueleweka unaweza kupata mkopo kwenye Bank na kufanya marejesho yako kulingana na mzunguko wako mkuu.
Mungu akutangulie mkuu utimize hitaji la moyo wakoHabari jf,
Kwa level niliyofikia kwenye biashara naweza sema bado few steps nifikie lengo, kichwa kinaniuma nawaza nitapata wapi mtaji.
Eneo nalofanyia biashara ni moja ya masoko makubwa na nalijua nje ndani maana nilishafanya kazi kwenye biashara za watu kama wawili tofauti, so wafanya biashara waeneo hilo nawajua vizuri . Now days nachofanya mara nyingi ni kuwajumlishia baadhi ya hawa wafanyabiashara bidhaa na kuuza reja reja kwa baadhi ya wateja hasa mtandaoni na wale wa kuunganishiwa na wauza maduka.
Nawaza nitapata wapi mtaji nichukue frame na nijaze mzigo shop na natargert zaidi biashara ya jumla kwa sababu wafanyabiashara wa hapa pia watakua wateja wangu.
Wakuu tupeane abcs
Apo sasa aangalie mwenyewe mzunguko na matumizi yake .Mkuu je Ana uhakika na return ya biashara asije akaenda Kukopa kwa hisia lisije mkuta jambo by the way hatuombei mabaya
Ukishapata mtaji hayo mawazo yote yanapotea yanakuja mapyaa ambayo hujawahi kuwaza kuwa utayawazaHabari jf,
Kwa level niliyofikia kwenye biashara naweza sema bado few steps nifikie lengo, kichwa kinaniuma nawaza nitapata wapi mtaji.
Eneo nalofanyia biashara ni moja ya masoko makubwa na nalijua nje ndani maana nilishafanya kazi kwenye biashara za watu kama wawili tofauti, so wafanya biashara waeneo hilo nawajua vizuri . Now days nachofanya mara nyingi ni kuwajumlishia baadhi ya hawa wafanyabiashara bidhaa na kuuza reja reja kwa baadhi ya wateja hasa mtandaoni na wale wa kuunganishiwa na wauza maduka.
Nawaza nitapata wapi mtaji nichukue frame na nijaze mzigo shop na natargert zaidi biashara ya jumla kwa sababu wafanyabiashara wa hapa pia watakua wateja wangu.
Wakuu tupeane abcs
Sure mkuu ndo maana kwangu sio kipaumbele hili swala la kukopa maana nina watu nimewashuhudia wakifirisika sababu ya mikopo na wanavyostruggle kulipa marejeshoMkuu je Ana uhakika na return ya biashara asije akaenda Kukopa kwa hisia lisije mkuta jambo by the way hatuombei mabaya
Wengi huishia nyumba zao kupigwa mnadaMkuu je Ana uhakika na return ya biashara asije akaenda Kukopa kwa hisia lisije mkuta jambo by the way hatuombei mabaya
Sio kweli mzee kwa tunaojua biashara kuna kitu kinaitwa consistency huyo anayefanya hivi hajajua maana ya biashara ila sisi wenye long term plans hatujawahi kuyumbisha malengo malengo sijawahi pata hela nikafikiria kufanya biashara tofautiUkishapata mtaji hayo mawazo yote yanapotea yanakuja mapyaa ambayo hujawahi kuwaza kuwa utayawaza
Anza na ulichonacho mkuu mtaji ni neno pama sana hata afya pia ni mtaji
Kwa nini usijifunze kwa walio fanikiwa kukopa na kurejesha na kukopa tena ? Na mzunguko wao upoje na namna ya kupunguza matumizi kulingana na mzunguko?Sure mkuu ndo maana kwangu sio kipaumbele hili swala la kukopa maana nina watu nimewashuhudia wakifirisika sababu ya mikopo na wanavyostruggle kulipa marejesho
Hili lazima nilifanyie kazi mkuu ndo maana sihitaji kukurupuka sana, naendelea kusoma kwa watu.Kwa nini usijifunze kwa walio fanikiwa kukopa na kurejesha na kukopa tena ? Na mzunguko wao upoje na namna ya kupunguza matumizi kulingana na mzunguko?
Ukishapata mtaji hayo mawazo yote yanapotea yanakuja mapyaa ambayo hujawahi kuwaza kuwa utayawaza
Anza na ulichonacho mkuu mtaji ni neno pama sana hata afya pia ni mtaji
Kwa nini usijifunze kwa walio fanikiwa kukopa na kurejesha na kukopa tena ? Na mzunguko wao upoje na namna ya kupunguza matumizi kulingana na mzunguko