Kuna redio flani nilikuwa naisikiliza leo (21/03/2015) nikasikia mtangazaji anasema"Leo kuna mvuaa fulni amazing"
Mvua flani amazing ndio inanyeshaje?
Vijana tuache kuwa swaga za ajabu kwani tunapoongea na hizo swaga tunapoteza maana ya maneno napia tusichanganye lugha.