Mmetoa bei gani bei gani kwa kichwa?
kama mmezoea kuwapa watu kadi kwa kuhonga, CCM wanakuja wenyewe kwa utashi wao
vijana wapatao sitini wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani morogoro, juzi walijiunga na chama cha ccm kutoka katika vyama mbalimbali ikiwemo chadema. vijana hao walijiunga ccm na kupewa kadi mpya za ccm na mbunge wa morogoro mjini ambaye aliwashukuru vijana hao kwa kuchagua fungu lililojema.
mmoja wa vijana hao Mohamed Issa kutoka chuo kikuu cha Mzumbe alisema, " nimeamua kuhama chama cha baba mkwe na mkwewe, nimehama chadema kwasababu hawajali vijana na uwakumbuka vijana wakati wa kuandaa maandamano tuu" mwisho wa kunukuu
source: Abood TV-Morogoro
Chadema inafia mikononi kwa Lema na Mbowe.
Maccm yanajali vijana?? Kweli huyo msomi wa division 5... Elimu yetu inazidi kukuwa...vijana wapatao sitini wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani morogoro, juzi walijiunga na chama cha ccm kutoka katika vyama mbalimbali ikiwemo chadema. vijana hao walijiunga ccm na kupewa kadi mpya za ccm na mbunge wa morogoro mjini ambaye aliwashukuru vijana hao kwa kuchagua fungu lililojema.
mmoja wa vijana hao Mohamed Issa kutoka chuo kikuu cha Mzumbe alisema, " nimeamua kuhama chama cha baba mkwe na mkwewe, nimehama chadema kwasababu hawajali vijana na uwakumbuka vijana wakati wa kuandaa maandamano tuu" mwisho wa kunukuu
source: Abood TV-Morogoro
Kaka, si unaona chuo chenyewe kilichotajwa ni Mzumbe? Hebu ingia kwenye tovuti uone kwanza hicho chuo kama hata hapo Kenya wanakijua!Maccm yanajali vijana?? Kweli huyo msomi wa division 5... Elimu yetu inazidi kukuwa...
kwa nini wasiseme wamejiunga na ccm kwa sababu wamependa 'sera zake' na walikuwa watu huru kabla ya hapo, kuna ulazima wa kusema "nimetoka cdm"? Hii inakuwa ni aibu kwa mtu anayejiita msomi katika kujitofautisha na sisi peasants. Hii ni swa na kuifanyia promotion cdm bila kujijua kwa maana aliyeangalia hiyo habari kama alikuwa hajasikia neno cdm likitajwa tangia asubuhi basi mlimsaidia kulisikia.
teh... teh.... aaaaah ccm bana
sahani za wali. nyama..... kanga..... kofia......nk plus utengenezaji wa vikaragosi vya maigizo