vijana 60 wa vyuo vikuu mkoani Morogoro waikacha Chadema na kujiunga na CCM

Status
Not open for further replies.

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
vijana wapatao sitini wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani morogoro, juzi walijiunga na chama cha ccm kutoka katika vyama mbalimbali ikiwemo chadema. vijana hao walijiunga ccm na kupewa kadi mpya za ccm na mbunge wa morogoro mjini ambaye aliwashukuru vijana hao kwa kuchagua fungu lililojema.

mmoja wa vijana hao Mohamed Issa kutoka chuo kikuu cha Mzumbe alisema, " nimeamua kuhama chama cha baba mkwe na mkwewe, nimehama chadema kwasababu hawajali vijana na uwakumbuka vijana wakati wa kuandaa maandamano tuu" mwisho wa kunukuu

source: Abood TV-Morogoro
 
Propaganda za CCM, Pesa za Abood, Pesa za Mwigulu, na ukuwadi wa Nyakarungu kupata vijana 60 ambao bado hawajajitambua sio kazi sana. Wanakula CCM watalala CHADEMA, Ongezeni dau mtapa wengi zaidi.

vijana wapatao sitini wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani morogoro, juzi walijiunga na chama cha ccm kutoka katika vyama mbalimbali ikiwemo chadema. vijana hao walijiunga ccm na kupewa kadi mpya za ccm na mbunge wa morogoro mjini ambaye aliwashukuru vijana hao kwa kuchagua fungu lililojema.

mmoja wa vijana hao Mohamed Issa kutoka chuo kikuu cha Mzumbe alisema, " nimeamua kuhama chama cha baba mkwe na mkwewe, nimehama chadema kwasababu hawajali vijana na uwakumbuka vijana wakati wa kuandaa maandamano tuu" mwisho wa kunukuu

source: Abood TV-Morogoro
 
vijana wapatao sitini wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani morogoro, juzi walijiunga na chama cha ccm kutoka katika vyama mbalimbali ikiwemo chadema. vijana hao walijiunga ccm na kupewa kadi mpya za ccm na mbunge wa morogoro mjini ambaye aliwashukuru vijana hao kwa kuchagua fungu lililojema.

mmoja wa vijana hao Mohamed Issa kutoka chuo kikuu cha Mzumbe alisema, " nimeamua kuhama chama cha baba mkwe na mkwewe, nimehama chadema kwasababu hawajali vijana na uwakumbuka vijana wakati wa kuandaa maandamano tuu" mwisho wa kunukuu

source: Abood TV-Morogoro
Maccm yanajali vijana?? Kweli huyo msomi wa division 5... Elimu yetu inazidi kukuwa...
 
Hivi Mzumbe ni Vyuo Vikuu????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S-confused1:Halafu ni vijana 60, hiyo inatosha kabisa kuweka uzi hapa.............Dah, njaa mbaya sana jamani, saa nyingine Lumumba itabidi ibuni miradi mingine ya kuwalipa wale majuha wao maana hii njaa ya buku 7 kwa ku-post uzi au kuchangia inawahenyesha sana vijana wao!
 
Kwa nini wasiseme wamejiunga na ccm kwa sababu wamependa 'sera zake' na walikuwa watu huru kabla ya hapo, kuna ulazima wa kusema "nimetoka cdm"? Hii inakuwa ni aibu kwa mtu anayejiita msomi katika kujitofautisha na sisi peasants. Hii ni swa na kuifanyia promotion cdm bila kujijua kwa maana aliyeangalia hiyo habari kama alikuwa hajasikia neno cdm likitajwa tangia asubuhi basi mlimsaidia kulisikia.
 
kwa nini wasiseme wamejiunga na ccm kwa sababu wamependa 'sera zake' na walikuwa watu huru kabla ya hapo, kuna ulazima wa kusema "nimetoka cdm"? Hii inakuwa ni aibu kwa mtu anayejiita msomi katika kujitofautisha na sisi peasants. Hii ni swa na kuifanyia promotion cdm bila kujijua kwa maana aliyeangalia hiyo habari kama alikuwa hajasikia neno cdm likitajwa tangia asubuhi basi mlimsaidia kulisikia.

wakati mwingine ni vyema mtu kukaa kimya
 
teh... Teh.... Aaaaah ccm bana

sahani za wali. Nyama..... Kanga..... Kofia......nk plus utengenezaji wa vikaragosi vya maigizo

wewe wasema, wenzio wamechagua fungu lililo jema
 
teh... teh.... aaaaah ccm bana

sahani za wali. nyama..... kanga..... kofia......nk plus utengenezaji wa vikaragosi vya maigizo

Utabaki vivyo hivyo wenzako wenye elimu zao wameshaona CHADEMA ni SACCOS inayoratibiwa kwa kutumia mgongo wa chama cha siasa.
 
Wanafunzi wa vyuo vikuu...
MUM?!!!!
Kaazi ipo na vyuo vya kata navyo.

vimejaza dv 5!!!

Saaaafi MUM.
 
Status
Not open for further replies.
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom