Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,387
vijana wapatao sitini wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani morogoro, juzi walijiunga na chama cha ccm kutoka katika vyama mbalimbali ikiwemo chadema. vijana hao walijiunga ccm na kupewa kadi mpya za ccm na mbunge wa morogoro mjini ambaye aliwashukuru vijana hao kwa kuchagua fungu lililojema.
mmoja wa vijana hao Mohamed Issa kutoka chuo kikuu cha Mzumbe alisema, " nimeamua kuhama chama cha baba mkwe na mkwewe, nimehama chadema kwasababu hawajali vijana na uwakumbuka vijana wakati wa kuandaa maandamano tuu" mwisho wa kunukuu
source: Abood TV-Morogoro