Viitikio Vya Nyimbo Mbalimbali Vilivyo leta Utata

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,647
Reaction score
3,656
Kuna viitikio ninavyokumbuka TBT kutokana jinsi baadhi ya wadau walivyotafsili ktk Nyimbo mblmbl

1.wimbo wa AY ,YULE ktk kiitikio Cha wimbo huo
nampenda sana jinsi alivyoo
yuleee nampenda sana jinsi alivyoo
nitafanyaje (
patamu hapo)
Sasa sisi tulitafsili patamu hapo
kuwa (hata mapozi)

2. uuu
 
Utata ni upi hapa
 
Oooh nyege nyegeee
Nishushe Mwanza nyegeziiii
Nyege nyegee kwetu mwanza Nyegezii 🙄

Leo nakutooootooootooo nakutoa kwenu uje kwangu.
Nataka kukutototoo kukutoa kwenu uje kwangu.🙄

Miziki ya sasa ni aibu kabisa hauwezi kusikiliza na watu mnaoheshimiana

Old Bongo flevaz hazikuwa kuwa na aibu kama hizi
 
CCM wakimuonesha Lissu nyuzi kama hizi anaweza akalegeza msimamo.
Aloo,tuna upuuzi mwingi sana hii nchi,yan watu huwa wanawazaga nini sijui....jamani muwe mnatumia wakati vzr maisha ni Safari fupi muwe mnapunguza baadhi ya maujinga.
 
Oooh nyege nyegeee
Nishushe Mwanza nyegeziiii
Nyege nyegee kwetu mwanza Nyegezii 🙄

Leo nakutooootooootooo nakutoa kwenu uje kwangu.
Nataka kukutototoo kukutoa kwenu uje kwangu.🙄

Miziki ya sasa ni aibu kabisa hauwezi kusikiliza na watu mnaoheshimiana

Old Bongo flevaz hazikuwa kuwa na aibu kama hizi
Hakika, vinazungumziwa viungo vya uzazi, tendo la ngono, kuruka ukuta, na mambo kama hayo.
 
Bro upo vizuri...

Oooh nyege nyegeee
Nishushe Mwanza nyegeziiii
Nyege nyegee kwetu mwanza Nyegezii 🙄

Leo nakutooootooootooo nakutoa kwenu uje kwangu.
Nataka kukutototoo kukutoa kwenu uje kwangu.🙄

Miziki ya sasa ni aibu kabisa hauwezi kusikiliza na watu mnaoheshimiana

Old Bongo flevaz hazikuwa kuwa na aibu kama hizi
 
Wimbo wa Marlow_ pipi ile sehemu anaposema ooh by the way nimechoka kupoteza time nina muda mwingi sijarudi home
Mmi nilikuwa nasema ooh bada Wee nimechoka kupoteza time
 
Kina kiitikio cha wimbo wa GK-Leo asee nimekuja kukijua baada ya miaka kama ishirini hivi.
 
Oooh nyege nyegeee
Nishushe Mwanza nyegeziiii
Nyege nyegee kwetu mwanza Nyegezii 🙄

Leo nakutooootooootooo nakutoa kwenu uje kwangu.
Nataka kukutototoo kukutoa kwenu uje kwangu.🙄

Miziki ya sasa ni aibu kabisa hauwezi kusikiliza na watu mnaoheshimiana

Old Bongo flevaz hazikuwa kuwa na aibu kama hizi
Unahatari sana...
 
Baby naomba unifanye×2,nifanye now wake daimaaa
 
Kuna wimbo unautwa Nishazama, sio kiitikio bali Marioo anaanza kwa kuimba, baby baby baby unafeel aje baby oh?
Sasa hii unafeel aje? Ilinichukua muda kuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom