Vigogo wa kampuni ya vinywaji, BEVCO LTD wafikishwa mahakani kwa rushwa, ubadhirifu, utakatishaji fedha haramu na ukwepaji kodi wa sh. bilioni 1.6

Na hivi tumetoka kwenye uchaguzi,pesa hakuna,hizi kesi tutazisikia sana,hapo jamaa ataelewana na DPP,atalipa 400M,kesi kwisha,this is totally state sponsored robbery
 
Na hivi tumetoka kwenye uchaguzi,pesa hakuna,hizi kesi tutazisikia sana,hapo jamaa ataelewana na DPP,atalipa 400M,kesi kwisha,this is totally state sponsored robbery
Hii ya State Sponsored Robbery nimeielewa sana (SSR).

Hizi taasisi zina makali upande mmoja tu,.na wale wanaosifu na mapambio wacha waendelee kusifu.

Lakini kawaida ya jini likikosa kupewa damu baada ya kafara kuisha huwa linarejea kwa WANAFAMILIA kudai DAMU.
 
Hii kampuni walikua wanatengeneza vinywaji gani? Ndo naiskia leo.
Mzee Baba Daily Anasema
Tanzania Ni Tajiri
๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€๐Ÿ˜…๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Umesahau Wale Watu Kutoka South Africa
Pale Mlimani City, Walikuja Na Tshs 150000/=
Wakawekeza Halafu Wakaondoka Na Ukwasi
 
Back
Top Bottom