Vigogo wa kampuni ya vinywaji, BEVCO LTD wafikishwa mahakani kwa rushwa, ubadhirifu, utakatishaji fedha haramu na ukwepaji kodi wa sh. bilioni 1.6

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,189
4,103
IMG-20201119-WA0004.jpg
IMG-20201119-WA0007.jpg
IMG-20201119-WA0005.jpg
IMG-20201119-WA0006.jpg
 
Mlolongo wa makosa, ila utashangaa kesi itakavyochukua muda, kila siku inapigwa tarehe, ushahidi haujakamilika!
 
Yupo jamaa yangu amekutana na hiki cheti yaani amepagawa!

Mungu apishe mbali.
 
Hapo kwenye kutakatisha feza
..
Hivi Ile mahakama ya mafisani ipo?
Imeshawahi kumtia fisadi yoyote hatiani?
 
Back
Top Bottom