Vigogo wa CCM kuifuta UKAWA.JK kutua leo, Kinana aweka kambi. Magufuli kumwaga madawati 1000

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12642774_1034546076609850_1398526616246488145_n.jpg
 
Halafu ww, acha ushamba wa kutuwekea mapicha ya gazeti, weka habari na kisha tuwekee source. Sasa hilo picha linatusaidia nini sisi.
 
Ccm ni ile ile ooh ni ile ile cha msingi tusikate tamaa mtandao umerudi serikalini dah hadi noma kuishi Tanzania siipendi hii nchi
Imejaa siasa tu na ujanja ujanja
 
Chama tawala hakiwezi kung'olewa na chama kinachojifananisha na chama tawala.
Lazima Ukawa isambaratishwe! Tayari Uchaguzi wa Meya kinondoni unarudiwa kama wa ZNZ kutokana na kuundwa wilaya mpya ya Ubungo hivyo Meya wa Sasa wa kinondoni kutokuwa na sifa ya kuwakilisha kinondon ! Kinondoni haiwezi kuongozwa na wahuni kwa gharama yoyote
 
UNAUNGA MKONO KUSHINDA KWA MABAVU
 
Mhuni mkeo anaedadavuliwa na marafiki zako! Tunakufahamu sana pusi wewe tena hadi uvunguni!
 
Safi sana UHURU chama kishike hatamu... turudi kwenye ujima. Tanzania oyee
 
Mtu anayeweza kulisoma na kulielewa hilo gazeti basi atakua mwanga, na kama ni kijana atakua na mtndio wa ubongo wa kujitakia
 
Mhuni mkeo anaedadavuliwa na marafiki zako! Tunakufahamu sana pusi wewe tena hadi uvunguni!

Mbona Wewe ni Rafiki yangu Pia? Wewe Mkeo pengine anatafunwa na Maadui zako pia!!

'Chuki ni mnyororo unaoweza kukufunga ukabaki hapo hapo ulipo. Ukichukia huwezi kusogea mbele, utabaki na chuki kwa miaka mingi. Haiwezi kukufikisha mahali popote pale'- Hayati Bob Marley.
 
Back
Top Bottom