utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Shirika la umma la DAWASCO limeendelea kutafunwa na watu wachache waliochomeka mirija ya ubinafsi uroho na umimi kwa kutumia rasilimali za watanzania wanyonge. Watu walioaminiwa na Rais wanatumia vibaya viapo vyao kwa kujinufaisha matumbo yao.
Mtendaji Mkuu wa shirika hili ametajwa tena leo kumiliki viosk vya kuuza maji ambapo maji ni ya dawasco lakini yeye ni mnufaika.
Rais Magufuli tafadhali tunakuomba uimulike DAWASCO TUONDOLEE UOVU HUU. Mtazame huyu home boy kwa jicho la tatu.
Chanzo; Uhuru 23/05/2017