Vigogo CWT wakomba Billion 7.2 ndani ya wiki moja

Yule mwenye msimamo,alikuwa anazuia pesa kutolewa wakamzawadia ukuu wa wilaya. Akawatolea nje.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈
 
Hatari sana
 
Tanzania Tamu Sana Wajinga Ni Wengi Sana
Kula Mbakizie Baba
Pesa Zipo Ndugu Zangu
 
Mbona pesa nyingi Sana. Hizo pesa zilitosha kiwapa mikopo walimu wenye riba nafuu
Kwa kweli huwa sielewi hiki chama kinawasaidiaje waalimu, ningekuwa mwanachama labda ningejua. Wametufundisha madarasani wee...financial management...xyz huku wanaishia kuwa wanyonge. Waalimu tunabanana nao kwenye mikopo umiza wakati huku wangeweza kutengewa fungu la mikopo nafuu tena nafuu kweli..hata 3%. Haya majengo ya CWT, waalimu wana share kwenye umiliki?
 
Hicho chama serikali ndo inafaidika na hizo hela ndo maana imetulia tuli,huo ni mradi wa watu mfano mimi kwa mwezi nakatwa elfu kumi na tisa baada ya miezi sita wanarudisha elfu kumi na mbili unabaki unajiuliza hichi ni nini
 
Isije ikawa kuna mahali kuna parandesi inasema chama hakitaingiliwa kama cha mpira...zikirudishwa zinakuwa za nini, gawio la faida?
 
Isije ikawa kuna mahali kuna parandesi inasema chama hakitaingiliwa kama cha mpira...zikirudishwa zinakuwa za nini, gawio la faida?
Sijui ndo faida ama gawio,ikikaribia meimosi ndo wanaleta na ndo nitolee mpaka mwaka unakata
 
Hawa ni majambazi Ila watatetewa kama wanaouza madini yetu wanabakia kula wao na familia zao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…