Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Ufisadi ni kama dhambi hakuna dhambi ndogo wala kubwa zote ni dhambi tuAisee hao vigogo ni wangapi wanao husika na na uuzaji wa hiace ya milion 19 sijui ,nilijua vigogo wa ccm wanao husika na madawa ya kulevya ama ujangili wa tembo
Sijui kama nzi atakamata kinyesikwa kuwa ni viongozi wa ccm hapo hakuna suala la majipu, hapo ni sawa na kujitoboa jicho mwenyewe lazima itashindikana
Hakuna msafi ccmWahojiwe tu maana ufisadi umezidi
Hakuna kigogo anaye hangaika na ishu ya milioni 19 ,hao ni vibaka tu na wataisoma namba,vigogo njoo Epa,Escorow,Richmond, mabilioni ya uswisi,vitalu vya wanyama,mamlaka ya ngorongoro ,miradi ya halmashauri nkUfisadi ni kama dhambi hakuna dhambi ndogo wala kubwa zote ni dhambi tu
Ccm ni kama nzi akiona kinyesi akiachi bilakukilamba kwa hiyo usidhani wanaacha hela yoyoteHakuna kigogo anaye hangaika na ishu ya milioni 19 ,hao ni vibaka tu na wataisoma namba,vigogo njoo Epa,Escorow,Richmond, mabilioni ya uswisi,vitalu vya wanyama,mamlaka ya ngorongoro ,miradi ya halmashauri nk
Ccm na utapeli ni sawa na nzi na kinyesiKama ni mali ya ccm TAKUKURU wanaanzaje kuchunguza!? au ni consultancy flan na watalipwa!?
Hakuna msafi ccmHao si vigogo ni vinjiti acheni kupotosha maana ya vigogo.
Kama ccm wamejiibia huko kwanini takukuru watumie resources za taifa kuchunguza mali ya chama?Ccm na utapeli ni sawa na nzi na kinyesi
Wacha fisi waparurane hukoKama ccm wamejiibia huko kwanini takukuru watumie resources za taifa kuchunguza mali ya chama?