Vigogo CCM 'wahamia' Marekani

Vigogo CCM 'wahamia' Marekani

Ukisoma habari title, inavyoanza na "viongozi kuibua hoja nzito (ambayo sijui ni ipi maana sidhani kama kuna watu hata wana mpango na akina nape au kinana au whereabouts za mkapa) kumalizikia kwenye mbio za urais (na kuingiza majina ya akina kigoda, migiro na nchimbi hadi unajiuliza hawa waandishi wa habari huwa nao wanaaga wanenda kazini kweli??

very crappy article
 
Bank imebadili jina? Nao wanakwepa kodi?

Mtaji wao umekua na kwa mujibu wa BOT sasa wanaweza kuwa commercial bank na kujitanua Tanzania nzima. Kiwango ni mtaji zaidi ya bilioni 15.
Hii ni kwa mujibu wa maelezo yao.
 
nasikia wametangaza kuwa hawarudi bongo tena! vigelegele jamani!!!!
 
Wemeenda kumsimika Membe kwa chifu wao Obama kama raisi ajaye wa Tz na yeye aanza kuwekewa uswiss 10 % za gesi kwa ajili ya kampeni za uchaguzi ujao.
Hapo umelonga kweli mtu wangu! ila mikakati yote tutaipata tu hata kama wangefanyia mikutano yao chini ya ardhi. Watarudi hapa bongo na watatukuta tu.
 
Eti nchimbi, sitta, migiro nk mmoja wao akiwa raisi naukana u Tanzania
 
Acha watangetange hour has come, no more ujinga ujinga to tzanians
 
Eti nchimbi, sitta, migiro nk mmoja wao akiwa raisi naukana u Tanzania
Usiangike ndugu......Muungano utakuwa umekufa kama Watanzania wakipenda ...hivyo utakuwa Mtanganyika au Mzanzibar au Mpemba inategemea unatokea upande upi....sisi Wanyasa tunaweza kuwa Wamalawi kipindi hicho...
 
Lowassa ategemee maumivu zaidi. JK na Mkapa wa leo siyo wale wa mwaka 2003

Membe, JK, Mkapa have one thing in common. They all hail from the coast! Lowassa you're on your own this this time around. You might wanna consider re-strategizing
 
... mihuri yote muhimu ya Tanzania wamepanda nayo mi-pipa hadi huko Ma-New York, Vancouver, Ottawa na madhara makubwa MIKATABA MIBOVU kwa taifa kutokana na safari hiyo ya viongozi hao kuja kujulikana miaka 4 baadaye.
 
Back
Top Bottom