Kwa wakazi wa morogoro,Wale wapenzi wa vigodoro ratiba imekaa vipi?kesho na jmos pand zp?
Yani ulivoandika title na ulichoeleza wala haviendani
kwa wakazi wa morogoro,wale wapenzi wa vigodoro ratiba imekaa vipi?kesho na jmos pand zp?
wewe kweli chipsi kuku
Huyu chips yai wallah....
Ni mikesha ya sherehe mbalimbali hasa maeneo ya mwambao/pwani - eg harusi, "kutoa" watoto (arobaini au jando) etc.Vigodoro ndo nini na mie vinipeleke huko kileleni??
Ni mikesha ya sherehe mbalimbali hasa maeneo ya mwambao/pwani - eg harusi, "kutoa" watoto (arobaini au jando) etc.
Sijui mleta mada anafikaje....lakini huwa kunakuwa na miziki na "mambo yetu" yale pia yanaendelea. Mke anaanga anaenda kwenye "kigodoro" kumbe yupo kwa "kidumu"!🙂🙂Eeeh ndo inafikisha kileleni? Nikajua itakuwa mambo ya kanga moko labda.
Sijui mleta mada anafikaje....lakini huwa kunakuwa na miziki na "mambo yetu" yale pia yanaendelea. Mkee anaanga anaenda kwenye "kigodoro" kumbe yupo kwa "kidumu"!🙂🙂
vigodoro ndo nini na mie vinipeleke huko kileleni??
sie wengine hua tunavisikia tu vigodoro
huyu chips yai wallah....
bora umesema
Eeeh ndo inafikisha kileleni? Nikajua itakuwa mambo ya kanga moko labda.