Festor Sanga
Member
- Mar 6, 2014
- 35
- 7
Mh maskini mimi na 26 yng..
pole ndugu
Mh maskini mimi na 26 yng..
Tusiokuwa na academic transcrpt vp hapo wakuu?
Zanzibar ni nje ya nchi pia mkuu!
Sheria namba 2,3 na 9 kama watafuatilia sana watu wengi itakuwa imekula kwao!
urefu kimo cha jaba. pita hivi
Amin amin nakuambieni...kama ww mfupi ila una profession nzuri ambayo ni productive kwa jeshi..njoo. Kuna kazi zaidi ya tigo (rider),ffu,trafic,parade,points. Polisi nizaidi ya hayo. Kama huamini angalia profession walizoainisha ili watu waombe.
TAHADHARI: Kama upo serious usimsikilize wakulia au kushoto,anabeza hapa lakini haki ya Mungu utakutana nae kwny foleni ya interview!.
Wadau...wengi wanaumia masharti ya mwaka wa kumaliza (2013/14 tu), urefu/ufupi na miaka (18-25 tu). Niwatoe wasiwasi...kama unadhamira ya dhati na professional yko inahitajika (kama tulivoainisha) apply. Hata kama nimfupi lakn unaskills utachukuliwa, kama unavigezo vyote kasoro umri...but not above 30 njoo, na kama umemaliza last year but unavigezo vyote njoo. Nasema haya si kwa kubahatisha, yametokea interview zote znazohusisha graduates...karibuni!
Tunaenda Darfur,Central Africa, Interpol, etc. Alafu wabongo mnaongoza kwa kubeza jeshi lenu wakati nchi zingine wanatuadmire. Njooni muombe muajiliwe tusaidieni kubadili muelekeo wajeshi hili badala ya kulalamika kwny mitandao. Ukihitimu utakuja utuambie rushwa unafindishwa na jeshi,ni slogan yetu au utashi wamtu mmoja mmoja kama ilivyo sekta zngne. KARIBU!
Taratibu za ku apply zikoje wakuu
wewe kama askari hufai kabisa badala ya kufanya kazi unashinda mtandaoni[/QUOTE
Siyo kila mda yupo mtandaona anaingia kutujibu watu ambao tunashida ya kujua mambo baadhi baadhi ya Policeforce sasa unataka tupate habari wapi na unajuaje kama siyo IT wa Police huyu so mda wake mwingi ni kutumia mtandao kudeal na Cyber crimes