:A S-confused1: Yawezekana mkuu. Hii camouflage hatari sana1.
Nasema hivi maana miezi michache iliyopita nilirespond kwenye tangazo la huku lakini kilichonikuta imebaki kuwa siri yangu...
Jamani jamani!!! Pole mwaya si ndio changamoto zenyewe hizo, lazima ukutane na pumba na ngano halafu upitishe mchujo upate mwenyewe. Kumbuka ukitupa nyavu baharini, wanaingia nyoka, minyoo,takataka za aina mbalimbali na samaki wenyewe wakubwa na wadogo lakini mwisho wa siku unabakia na samaki wako wazuri!! So usikatishwe tamaa na hayo.
Ila pia bado naamini mumu/mke mwema hutoka kwa Mungu. Tengeneza vizuri uhusiano wa na Mungu utafanikiwa tu!!
Hataki kubahatisha...Anataka akija PM ajue kinachomleta!Picha tena situtaonyeshana kwenye PM
Waeleze kama walishawahi kuua(ke) au kushiriki mauaji(me) na ni mara ngapi ?