Vigezo na masharti kwa wanaotafuta wachumba JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigezo na masharti kwa wanaotafuta wachumba JF

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Feb 24, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  1. Waweke picha.
  Tena zionyeshe pande zote, mbele nyuma, kwa pembeni. Kwenye hiyo picha isiwe umefanya make-up (wadada sanasana), na picha ziwe recent - not more than one month tangia zimepigwa

  2. Waweke CV
  Humo waonyeshe experience yao kwenye mapenz, aliwahi kubreak mioyo ya wangapi, nae alishabrekiwa mara ngapi.

  3. Naomba memba muongeze vigezo.

  Nasema hivi maana miezi michache iliyopita nilirespond kwenye tangazo la huku lakini kilichonikuta imebaki kuwa siri yangu...
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  :A S-confused1: Yawezekana mkuu. Hii camouflage hatari sana
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kumbe bado hujaoa/hujaolewa
   
 4. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Awe na mvuto wa mapenzi machoni mwa wa2
   
 5. LD

  LD JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jamani jamani!!! Pole mwaya si ndio changamoto zenyewe hizo, lazima ukutane na pumba na ngano halafu upitishe mchujo upate mwenyewe. Kumbuka ukitupa nyavu baharini, wanaingia nyoka, minyoo,takataka za aina mbalimbali na samaki wenyewe wakubwa na wadogo lakini mwisho wa siku unabakia na samaki wako wazuri!! So usikatishwe tamaa na hayo.

  Ila pia bado naamini mumu/mke mwema hutoka kwa Mungu. Tengeneza vizuri uhusiano wa na Mungu utafanikiwa tu!!
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Umenikumbusha wimbo wa Mwaitege anasema mke mwema anatoka kwa bwana. Siku jamaa anaargue , sasa kama anatoka kwa bwanaake, huyo ni mke mwema kweli? lol...
   
 7. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Njoo ufanyiwe maombiiiii, njoo uombewe, njoo ufanyiwe maombezi.....:pray:
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wataje na uzito wa miili yao.
   
 9. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Waeleze kama walishawahi kuua(ke) au kushiriki mauaji(me) na ni mara ngapi ?
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  job true true anajisemeaga BJ.....BRB:hand:
   
 11. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Picha tena situtaonyeshana kwenye PM
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hataki kubahatisha...Anataka akija PM ajue kinachomleta!
   
 13. Jayfour

  Jayfour Senior Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Waseme ukweli hapo wasidanganye Mungu anawaona..... !!!!!!
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Pole tuko ulikutana na bonge la TNT
   
Loading...