Jamani mimi sina tangazo ila ninaswali kuhusiana na matangazo mbali mbali tunayoyasikia redioni hasa kwa makampuni ya simu....
Ivi wanaposema kila baada ya tangazo kuwa masharti na vigezo huzingatiwa huwa wanamaana gani hasa..maana sijawai yaskia hayo masharti wala vigezo...so kama kuna anaejua juu ya vigezo ivi tunaomba mtujuze