Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,074
- 43,530
Duh!!!
Wabongo mnabanwa kila kona aisee...
Nchi zilizoendelea ni aghalabu sana kukutana na huduma za namna hii...
Dunia ya sasa si ya kubaniana data...
sisi tunamiss tu mbadala wa mobile data, ila kwa mobile data tupo juu. nchi gani unaijua wewe ina vifurushi vya internet bei rahisi kuliko tanzania? mi nimetafuta sana na najichanganya na watu wa nchi mbalimbali ila sijaona.
Gharama ni juu kidogo ukilinganisha na TZ lakini huduma ni bora...
Kwa baadhi ya nchi ninazofahamu huduma zake, gharama pekee unayolipia huwa ni data na ni monthly unlimited..text na voice ni bure...
Halafu ngoja nikuulize kitu kimoja...ni mtandao gani wenye kutoa bandwidth kubwa ya data kati ya mitandao yote TZ (usiwaguse Smile)...
Na maximum speed huwa ni kiasi gani?
mi naishi mikoani average tigo napata 8 hadi 10mbps, max kabisa usiku sana napata hadi 12-14mbps.
watu wa dar wanapata hadi 16mbps kwa airtel na baadhi tigo, ila maeneo yenye msongamano wa watu kama ubungo, kkoo si rahisi kuipata hio speed mchana.
Angalau hii habari nzuri...
Kwa mwendokasi huu unaweza kufanya streaming isiyokwama kwama kwa mtu ambaye anatumia huduma za iptv...
hii speed yangu sasa hv nime snip
...ni mtandao gani wenye kutoa bandwidth kubwa ya data kati ya mitandao yote TZ (usiwaguse Smile)...
Na maximum speed huwa ni kiasi gani?
vodacom...unapata mpaka 18mbps
Ofisini kwao au ?
sisi tunamiss tu mbadala wa mobile data, ila kwa mobile data tupo juu. nchi gani unaijua wewe ina vifurushi vya internet bei rahisi kuliko tanzania? mi nimetafuta sana na najichanganya na watu wa nchi mbalimbali ila sijaona.
vodacom...unapata mpaka 18mbps
hapana.. Mi nipo Temeke kata 14 hapa maeneo ya usalama nikiwa nadownload movie tubemate huku nikiwa na kifurushi cha unlimited
Lakini hii speed inakuwa hivyo kwa data size fulani tu za mwanzo then inapungua...?