hiyo ni univerity offer hata mimi ninayo line yangu yas chuo ila kama unaongelea vile vifurushi mawakala walikuwa wanaunga kihuni hapo sasa umefeli kwa sababu juzi vimeondolewa na wafanyakazi wa voda wengi wamefukuzwa kazi kwa sababu hiyovoda 2500 napata GB 4 sina presha
kawaida vipi chinga one si ngozi nyeusi tuna shida sana asa unashindwa nini kutoa maelekezo yaliyonyookakwa Kawaida tu
Hawana akili kabisa.Kwa muda gani? Na walivyo wajinga wakikuona ni mteja wa kila siku wa MB wanakuongezea bili
2GB USIKU na 2GB MCHANAvoda 2500 napata GB 4 sina presha
Hili la bando la whatsapp fanya msaada wa code zake tafadhali mkuu.Mimi siku hizi naunga bando la mwezi la whatsapp na sms, kisha naingia jf kupitia free basics. In case nahitaji kutumia data...naunga vifurushi vya usiku. Sipendi kuishi huvi ila tu ndo hivo..
Ttcl network mi ishurudini nyumbani ttcl
Ttcl wakijirekebisha, yaani mtandao wao upatikane popote Tanzania. Naamini kuna baadhi ya mitandao italimia meno kwa kukimbiwa na wateja. Shida ya ttcl ukiwa mjini unapatikana lakini ukitoka nje ya mji haupatikani.rudini nyumbani ttcl
hapa hatuzungumzii 'huwa unapata ngapi' hapa tunazumgumzia vifurushi vilivyo fanyiwa mabadiliko. kama cha kwako kipo vilevile weka screenshot hapaWewe pengine umeanza kutumia jana vodacom.....hahahaha
Hiyo inaitwa yakwako tuu..... kipo muda mrefu na kila mtu anapewa mb zake wala hatufanani.....mimi kwa 1500 huwa napata 1.5gb kwa 1500...
Hiyo ni ya kwako tuu
Ukifungua menyu ya voda kwenye kifurushi vya intaneti pale namba tano ndo bando la whatsapp lipo...kwa mwezi buku tatu.Hili la bando la whatsapp fanya msaada wa code zake tafadhali mkuu.
Pouwa mkuu.Ukifungua menyu ya voda kwenye kifurushi vya intaneti pale namba tano ndo bando la whatsapp lipo...kwa mwezi buku tatu.