greater G JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 308 Reaction score 218 Oct 27, 2017 #1 Wakuu! Kwa muda mrefu nimekuwa mfuasi mzuri sana wa mtandao huu. Hivi karibuni niliamua kujiunga na kifurushi pendwa cha HALICHACHI,ili kinisogeze siku mbili tatu. Lakini cha ajabu muda wa kifurushi wanachokitoa hakiendani na uhalisia wa dakika ambazo mteja anatumia. Kumbe ndio maana wateja wake wengi wanalalamika aisee.
Wakuu! Kwa muda mrefu nimekuwa mfuasi mzuri sana wa mtandao huu. Hivi karibuni niliamua kujiunga na kifurushi pendwa cha HALICHACHI,ili kinisogeze siku mbili tatu. Lakini cha ajabu muda wa kifurushi wanachokitoa hakiendani na uhalisia wa dakika ambazo mteja anatumia. Kumbe ndio maana wateja wake wengi wanalalamika aisee.
GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,791 Reaction score 3,079 Oct 27, 2017 #2 Pole bwana greater G Jaribu mtandao mwingine
K Kocha Mkuu JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,862 Reaction score 3,322 Oct 27, 2017 #4 Hakuna kimbilio, haya malalamiko yalishapelekwa TCRA lakini hakuna lolote linalofanyika. Ukiweka vocha unashangaa inapungua taratibu hata bila kutumia, ukiuliza unaambiwa hukuzima data, simu yenyewe kitochi.
Hakuna kimbilio, haya malalamiko yalishapelekwa TCRA lakini hakuna lolote linalofanyika. Ukiweka vocha unashangaa inapungua taratibu hata bila kutumia, ukiuliza unaambiwa hukuzima data, simu yenyewe kitochi.