Vifurushi vya simu

Vifurushi vya simu

aj styles

Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
17
Reaction score
14
Jamanii mitandao ya cm nyoko..Tigo Wamekuja na Halichachi Airtel wakaja na Halivundi Jana voda wakaja na Haliishi..Leo nasikia Zantel wanakwambia achana na Viporo...Lol Bado Haloteli
 
Back
Top Bottom