Vifurushi vya simu kupanda bei; Vodacom kwa hali hii mnafukuza wateja

uduzungwa

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
552
543
Niseme tu yangu ya moyoni kwa hiki kitendo nilichokiona leo trh 24/1/2017 kwenye menu ya Vodacom

Kutokana na hali mbaya iliyokuwepo kwa siku hizi mbili tatu za nyuma sikuweza kununua bando la internet kwenye simu yangu.
Sasa leo kasalari uchwara kakasomeka kdg. Nikafanya manunuzi ya muhimu hapa gheto, then nikanunua vocha zangu za buku 2 kama kawaida nijiunge na bando la Masaa 24 lenye ujazo wa GB 2 kwa vodacoma.

Ila sasa nilichokutana nacho ni balaa. Imebidi nipige simu kwa huduma kwa wateja kuuliza kwamba ninachokiona ndicho chenyewe. Wakasema ndiyo hivyo eti wamefanya mabadiliko kdgo kuboresha, kama ndio mnaboreahaga hivi, nathani mie sitakuwa mteja wenu tena.
Mabadiliko ni kwamba kwa buku 2 unapata GB 1 tu.

Niwaombe tu nyie vodacoma huku mnako taka kwenda sipo.

Hali yenyewe ni mbaya hivi afu nyie mnafanya haya. GB 1 kwa buku 2 kweli? imeniuma sana aiseee.
Najitoa kwenye huduma zenu kuanzia sasa aisee.
 
fe7d0b109652201df8ca799b07b2dfbb.jpg


Nisiwe mnafiki. Screen shot hiyo hapo. Hali imeshakuwa mbaya kila mahali.

Voda mnatunyonya jamani.

Wakati nchi zingine network ni free kila mahali nyie kagb ka1 tu mnatuuzia kwa elfu mbili(2). Aisee mie sitaki.

Uwiiiiiiiiiiiiiii
 
Mkuu usiwalaumu sana, ukiwaona wanatubana sisi tambua wazi na wao wanabanwa. Kama ulishangilia kumuona babako anapiga pushup hadharani Basi laana yake ndo hii.
Yani wakibanwa wao ndio hasira zao wanakuja kutumalizia sisi.

Waende zao.
miaka yote walikuwa hawapati kwani hela.

Wasitutese bhana. Maisha hayapo hivyo kabisa.
Nimeshahamia Halotel asaivi
 
Back
Top Bottom