Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 516
habari wanajukwaa!!
kila siku nimekuwa nikijiuliza ni kwanini haya makampuni ya tv (ving'amuzi) kwenye vifurushi vyao huwa wana weka tulipie kwa mwezi/nusu mwezi tu?.
Kwanini wasiweke vifurushi vya kulipia kwa siku ili kuwasaidia watanzania wengi wanao shindwa kulipia kwa mwezi/nusu mwezi nao waweze kufurahia hivyo vifurushi kwa kulipia kwa siku, kama wanavyo fanya kwenye mitandao ya simu (kuna mabando ya siku/wiki/mwezi/mwaka). Startimes kuna kipindi waliweka huduma ya kulipia kwa siku (kwenye kifurushi chao cha mambo kama sikosei tulikuwa tunalipia Tsh 133 per day) lakini huduma hii kwa sasa haipo tena.
Kama wahusika wana usoma huu uzi naomba walifikilie hili la kuweka vifurushi vya kulipia kwa siku. Saizi imefikia hatua ya watu wengi kutolipia ving'amuzi vyao, utakuta nyumba imefungwa dishi juu la dstv au startimes au zuku n.k ukifuatilia unakuta king'amuzi hakijalipiwa kwa mda mrefu sana . kwa kutu rahisishia sisi watanzania (wabahili wa kutoa mwisho wa mwezi) tunaomba mtuletee vifirushi vya kulipia kwa siku.
......Kwa mwenye Nyongeza/mawazo kuhusiana na hawa wamiliki wa hivi ving'amuzi una karibishwa hapa....